Nimeenda kwa mganga ameshindwa kupandisha pepo

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Aug 5, 2012
1,110
1,473
Wakuu nawasalimu.

Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke.

Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia pepo limekataa kuja likinihofia.

Na kweli mganga hajachukua kwangu hata shilingi kwa kazi ile.

Hii ni mara ya tatu waganga wanashindwa kupandisha mapepo yao, sijui shida ni nini.

Mzigo wangu ni mkubwa sana na naendelea kupitia moto ambapo sasa hata mke wangu anakaribia kurudi kwao aachane na mimi.

Nadhani nakufa
 
Kuna wakumbaff ambao bado wanaamini waganga na waganganjaa!
 
Ukiona mapepo ya mganga yanakataa kupanda manake yamekutana na nguvu kubwa kuliko yao. Wewe utakuwa ni mtu wa Yesu Kristo na unapaswa kutumia nguvu zake kufanikiwa na sio nguvu za giza.
Namuomba Yesu anichukue nikapumzike
 
Inasikitisha sana kijana wa zama hizi za kidigitali anaamini ushirikina katika kutatua matatizo yake. Kwa mtazamo huu maendeleo yatachelewa sana
 
Wakuu nawasalimu.

Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke.

Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia pepo limekataa kuja likinihofia.

Na kweli mganga hajachukua kwangu hata shilingi kwa kazi ile.

Hii ni mara ya tatu waganga wanashindwa kupandisha mapepo yao, sijui shida ni nini.

Mzigo wangu ni mkubwa sana na naendelea kupitia moto ambapo sasa hata mke wangu anakaribia kurudi kwao aachane na mimi.

Nadhani nakufa
kaanao meza 1 wadeni wako myamalize usitegemee wachawi
 
Kwanza hakuna kitu kama mganga kupandisha pepo, huwa ni kiini macho tu na usanii.
Kuhusu 'kukataa' kupanda mapepo ya waganga, chukulia ni kama ujumbe toka kwa muumba kuwa umekwenda siko.

Halafu ushasikia linaitwa 'pepo' unahisi litakuwa zuri hilo kuweza kukusaidia???

Jaribu kukaa chini na uombe kwa imani yako, lia shida zako kama vile unamuona Mungu wako mbele yako.
Katika maombi yako weka imani kuwa utajibiwa na hakika Mola atakujibu uyatakayo
(hii ni applicable kama unaamini uwepo wa Mungu).
 
Wakuu nawasalimu.

Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke.

Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia pepo limekataa kuja likinihofia.

Na kweli mganga hajachukua kwangu hata shilingi kwa kazi ile.

Hii ni mara ya tatu waganga wanashindwa kupandisha mapepo yao, sijui shida ni nini.

Mzigo wangu ni mkubwa sana na naendelea kupitia moto ambapo sasa hata mke wangu anakaribia kurudi kwao aachane na mimi.

Nadhani nakufa
Kanisani YESU anaokoa...
 
Shetani anakupiga sindano za moto halafu unaenda kwa mawakala wake kutafuta dawa ya kupambana na le mopao shetty ibilisi.

Hebu tafakari kati ya Mungu na shetani wapi kuna msaada? Gharama pekee anayoihitaji Mungu kutoka kwako ni kumuamini pekee. The rest anafanya kwa namna yake.

Hebu jitafakari hatua unazozichukua kama zina impact kwako
 
Wakuu nawasalimu.

Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke.

Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia pepo limekataa kuja likinihofia.

Na kweli mganga hajachukua kwangu hata shilingi kwa kazi ile.

Hii ni mara ya tatu waganga wanashindwa kupandisha mapepo yao, sijui shida ni nini.

Mzigo wangu ni mkubwa sana na naendelea kupitia moto ambapo sasa hata mke wangu anakaribia kurudi kwao aachane na mimi.

Nadhani nakufa

Kuna watu watakuambia huko kuna mafanikio
Wengi watakupa shuhuda ya vile walivyofanikiwa
Lakini wewe hata ukeshe huko hutopata matokeo. Rudi kwa Mungu wako tuu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom