Search results

  1. mr gentleman

    Kwanini gazeti la Tanzania Daima halitoi ripoti kuhusu Loliondo?

    Kumekuwa na malalamiko mengi ya wapinzani wakishutumu vyombo vya habari kwa kukwepa kutoa habari za Loliondo haswa zinazohusu upande wa Wamasai. Lakini cha ajabu zaidi ni gazeti la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe limekuwa kama Uhuru au mzalendo nao wamejitia upofu kama hawaoni...
  2. mr gentleman

    Unsung Heroes: Mashujaa wasiopewa heshima yao hapa Tanzania

    Tanzania kuna watu wengi kwenye nyanja mbalimbali ambao wamefanya makubwa kwenye nchi lakini hawatajwi wala kupewa heshima wanayostahili. Sasa mimi nitawataja wachache na yoyote anaemjua mtu aliyefanya jambo kubwa aongezee. P Funk Majani Huyu ndio baba wa bongofleva. Formula tunayotumia sasa...
  3. mr gentleman

    Rayvanny aweka rekodi ya kuwa wa kwanza East Africa kufikisha streams milioni 100 Boomplay

    STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿 Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay...
  4. mr gentleman

    Lema awataka wana Chadema kususia biashara za billionea wa Arusha

    Siku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM. Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za billionea Sunda.
  5. mr gentleman

    CHADEMA ni wakati wa kuomba msamaha kwa Zitto ili awasaidie, amewazidi sana maono

    Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema. Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni. Sasa...
  6. mr gentleman

    Rais Samia ana bahati ya kuwa kipenzi cha wapinzani, haijawahi kutokea

    Katika historia ya hii nchi haijawai tokea rais na mwenyekiti wa CCM akapendwa kiasi hiki na wafuasi wa vyama vya upinzani. Naweza kusema taifa limepata bahati kubwa kuwa na kiongozi mwenye ushawishi wa kipekee. Ni Rais ambaye hata ikitokea amekosea lawama zake atabebeshwa Kikwete au Magufuli...
  7. mr gentleman

    Mtaani wanauliza, kwanini wanaoachiwa ni matajiri wenye kesi za ufisadi?

    Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa. Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi? Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela! Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
  8. mr gentleman

    Kigwangalla amechanganyikiwa, hakujiandaa na anguko lake la kisiasa

    Kigwangwala ni moja wanasiasa vijana machachali wa zama hizi ambaye safari yake ya kisiasa uhenda ndio imemalizika. Naona anatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuweka mambo sawa kulinda jina lake, anashinda Twitter akijisafisha. Mara utamuona Instagram akijisafisha. Ametembea baadhi ya media...
  9. mr gentleman

    Waziri Mchengerwa: Nafungua milango ya fursa kwa Watumishi wa Umma kwenda nje ya nchi kupata mafunzo na ujuzi

    Ni rasmi sasa watumishi wa serikali wamepewa ruhusa ya kwenda safari za nje ambazo zilisitishwa na hayati Magufuli. ======== Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mchengerwa amesema kuwa anawaagiza wakuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma kujipanga kwa ajili ya kutoa mafunzo...
  10. mr gentleman

    Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?

    Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru. Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa? Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia? Au Citizen wanamchafua rais wetu? ===== Serikali ya Tanzania yakanusha...
  11. mr gentleman

    Nani anatumia app ya clubhouse?

    Kwa anaetumia clubhouse tupe mrejesho. Je ni nzuri? User friendly?
  12. mr gentleman

    Ifike hatua Waafrika tuache ujinga. Hivi Nigeria maandamano yao yanataka Serikali ifanye nini ili waache?

    Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS. Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency. Ila naona Wanaijeria bado wanaandamana wanafanya vurugu na jana jeshi limeingilia na kuua baadhi ya waandamanaji...
  13. mr gentleman

    Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

    Hatimaye zamu ya Zuchu imewadia. Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi. Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano. Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee. Tanzania inaenda kupata malkia mpya wa bongofleva. Hongera Wasafi hongera Tanzania...
  14. mr gentleman

    Chidi Benz amchana Majizo na EFm yake, ni baada ya kutaka kumpa elfu 50 kwa ajili ya show

    Msanii Chidi Benzi asikitishwa na dau alilotaka kupewa na Efm kwa ajili ya ku-perfom show yao ya Mziki Mnene. Walimpigia simu wakimwomba akaimbe kwa malipo ya elfu 50, kwa ahadi kwamba watampa promo baada ya show. Yeye ametupa lawama kwa Majizo kuwa anadharau wasanii ndio maana matamasha yake...
  15. mr gentleman

    Usiwe na mapozi ila kikubwa usiwe mtu wa kushoboka

    Raha ya mtu kufanikiwa ipo kwenye kukubalika na kila mtu haswa wale wachache wanaojifanya hawamkubali mtu kirahisi. Watu wengi uangaika kutafuta kukubalika na wale wachache wanaowachukulia poa kuliko wengi wanaowatukuza. Ukitaka heshima ya ukweli basi usishobokee mtu kirahis rahisi. Kama ni ME...
  16. mr gentleman

    Najivunia kuwa brazamen

    Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali. Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka. Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo. Napenda kutumia vitu vyenye quality na standards za juu. Najali sana viwango kwenye kila kitu changu. Kibongobongo wananiita brazameni...
  17. mr gentleman

    Wasafi imemkosea nini Joh Makini?

    Anaitwa John Makini aka Mwamba Wa Kaskazini au Jay Z wa Arusha. Huyu jamaa hataki kabisa kuwapa ushirikiano Wasafi Media. Daima anaikimbia mic ya Wasafi. Akiitwa kwa ajili ya interview haendi. Kufatwa hataki. Alishakubarigi kwenda studio kwenye kipindi cha block 89 lakini dakika za mwisho...
  18. mr gentleman

    Diamond apewa ardhi ya kuishi nchini Kenya

    Historia inaandikwa ni heshima kubwa pia kwa mziki wetu wa Tanzania. Viva Diamond.
  19. mr gentleman

    Tazama maisha ya Mbosso...Kutoka mtaani, YaMoto mpaka WCB Wasafi

    Hii ni historia ya maisha ya Mbosso kimuziki. Unaweza tazama video fupi hapo juu....Mengi yamejaribu kuwasilishwa kwa video ili uweze kumfahamu Mbosso aka Mbosso khan aka Marombosso aka Mshedede aka African voice.
  20. mr gentleman

    WCB Wasafi wamebaki wakiwa..Tatizo ni nini?

    Kwa wasiofatilia mambo wanaweza shangaa naposema WCB wamebaki wakiwa. Yes, sababu awajawai toka kwenye public na kukiri haya mambo nayoenda kuyasema hapa. Ni wazi kama utafanya tafiti yako ya uongo na kweli utagundua media zote kubwa za bongo zimesusa kupiga nyimbo za WCB iwe Tv na Radio...
Back
Top Bottom