Rais Samia ana bahati ya kuwa kipenzi cha wapinzani, haijawahi kutokea

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,673
Katika historia ya hii nchi haijawai tokea rais na mwenyekiti wa CCM akapendwa kiasi hiki na wafuasi wa vyama vya upinzani.

Naweza kusema taifa limepata bahati kubwa kuwa na kiongozi mwenye ushawishi wa kipekee.

Ni Rais ambaye hata ikitokea amekosea lawama zake atabebeshwa Kikwete au Magufuli inategemea na aina ya kosa. Itasemwa team msoga au sukuma gang. Na hii shughuli uwa inafanywa na wapinzani huku CCM wakila bata maana kazi ni nyepesi.

Ndio Rais ambaye akitokea yoyote wa kumnyooshea kidole basi wapinzani na CCM watasimama pamoja kumpambania.

Tuendelee kumuunga mkono Mama yetu Samia. Kwa kweli itatuchukua miaka hata elfu moja kumpata rais anaeweza kuunganisha makundi yote CCM na upinzani wakazungumza lugha moja.

Mama Samia anaupiga mwingi!
 
Yamekuwa hayo tena, wakati wenzako wanachochea kuni moto uendelee kukolea vizuri ndani ya CCM.
 
Wewe ndiye msemaji wa wapinzani?
 
Shida ni wafuasi wake hawataki kukubali kwamba huyu mama ana mapungufu makubwa na hana uwezo wa kua rais wa nchi.

Yeye kila kosa lake wafuasi wake watamtupia lawama Magufuli kwamba amemuachia mafatizo ama Kikwete kwamba anamuongoza vibaya na kumuingiza chaka.

Kwa wafuasi wake, yeye hana tatizo, yuko perfect 100%.
 
Yamekuwa hayo tena, wakati wenzako wanachochea kuni moto uendelee kukolea vizuri ndani ya CCM.
Hakuna kuchochea kuni ni mapenzi ya kweli kwa rais wetu Samia.

Kwa sasa ajenda kuu ya kila mpinzani ni kusimama na Mama.
 
Mama anapitia wakati mgumu Sana.

Najaribu kuwa yeye nashindwa.

Yaani nyumbani kwako Kuna fuka Moshi afu wapinzani wako wanafurahi. Shituka!

Tabia ya binadamu akishakukataa mwanzo kumrudisha ni ngumu hata akirudi ni shingo upande. Watu wa karibu na Mama na wannachi hawamwelewi kabisa. Hata akifanya zuri kiasi gani hata hawafirahiii.

Binafsi sijaona baya alilofanya lakini sijui kwa nini watu hawamwelewi. Week iliyopita nilikuwa kusini mwa Tanzania. Wanahisi kama hawana Rais.

Tumuombe amalize angalau hii miaka minne kwa Salama.

Ila mambo ni mengi.

Tozo na Mkikopo = Madarasa na Madawati.
 
Katika historia ya hii nchi haijawai tokea rais na mwenyekiti wa CCM akapendwa kiasi hiki na wafuasi wa vyama vya upinzani.

Naweza kusema taifa limepata bahati kubwa kuwa na kiongozi mwenye ushawishi wa kipekee.

Ni Rais ambaye hata ikitokea amekosea lawama zake atabebeshwa Kikwete au Magufuli inategemea na aina ya kosa. Itasemwa team msoga au sukuma gang. Na hii shughuli uwa inafanywa na wapinzani huku CCM wakila bata maana kazi ni nyepesi.

Ndio Rais ambaye akitokea yoyote wa kumnyooshea kidole basi wapinzani na CCM watasimama pamoja kumpambania.

Tuendelee kumuunga mkono Mama yetu Samia. Kwa kweli itatuchukua miaka hata elfu moja kumpata rais anaeweza kuunganisha makundi yote CCM na upinzani wakazungumza lugha moja.

Mama Samia anaupiga mwingi!

Kwa sababu watu hawana known ID and so they benefit nothing wakiandika Hivi, naanza kushawishika mfumo unawalipa! Mtu akubaliki ma Job, analubalikaje Na Chadema?
 
Hakuna kuchochea kuni ni mapenzi ya kweli kwa rais wetu Samia.

Kwa sasa ajenda kuu ya kila mpinzani ni kusimama na Mama.
Unamanisha kwamba wapinzani wanamapenzi makubwa na mama ili aendelee kuharibu zaidi?au kwa kuwa anafanya vizuri?.
 
Mbona mnatumia nguvu kubwa kumpa mtu sifa hasizostaili kwa mtindo huu hatuwezi fika kama nchi ,nchi hii tulipofikia tunahitaji raisi kaliba ya magufuli tusonge jamn msihadaike na hzo buku 7 mkajitoa ufahamu
 
Kwani magufuli hakuwacha mtoto?
Nendeni mkamshawishi agombee
 
Watoto wake makazi yao ni jela tu, kuna lile jambazi Ole Sabaya na Makonda is next.

Halafu kuna huyo mgonjwa wa akili wa Kongwa, eti naye kajiwekea kinga asishtakiwe.
Ile kinga ni muda tu utaongea maana sheria siyo biblia kusema haibadilishwi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom