Rayvanny aweka rekodi ya kuwa wa kwanza East Africa kufikisha streams milioni 100 Boomplay

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,679
STAA wa muziki wa Bongofleva na bosi wa lebo ya Next Level Music, Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvanny) amefikisha (streams) milioni 100 kupitia jukwaa namba moja la muziki barani Africa Boomplay 🙆🏿

Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya streams kwenye boomplay akifatiwa na Diamond.

Baada ya hapo anafatia Mbosso, then Zuchu alafu wa tano Harmonize.

20220523_212851.jpg
 
Jamaa anashuka sana siku hizi.

Hana hit song mtaani kwa sasa.

Huko digital anaooromoka kila siku.
 
Alikuwa anaongoza kusikilizwa kwenye hizo digital platform. Sasa hivi haongozi tena.

New Chui imebuma.

Kama alikuwa anadhani anaweza nje ya WCB hii ni red flag.
IMG-20220524-WA0024.jpg


IMG_20220524_173800.jpg


Hapo kuna mtu kamzidi mwenzie likes ila kuuza bado sana pamoja na kutumia jina la kajala Ila bado anakimbizwa.

Nb: Hizo ni projects zao za mwisho, mmoja Ep ya nyimbo 9 mwingine ana album yenye nyimbo 20 zingine za kumtukana chui na simba.
 
Back
Top Bottom