wafungwa wa kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Wafungwa wa kisiasa kutoka jimbo la Ukerewe washinda rufaa yao na kuachiwa huru

    28 July 2022 Ukerewe, Mwanza MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
  2. Erythrocyte

    BAVICHA yafika gereza la Mkuza Kibaha katika Muendelezo wa kuwafariji na kuwasalimia wafungwa wa kisiasa

    Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji . Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji...
  3. Nigrastratatract nerve

    Serikali: Hatuna wafungwa wa kisiasa

    “Kuna jambo tumeona tulitolee ufafanuzi kuna clip inazunguka ikisema Rais Samia Suluhu ametoa agizo la kuachiwa huru kwa Wafungwa wa Kisiasa 23, sio kweli Rais hajazungumza suala hilo, pili Nchi yetu haina Wafungwa wa Kisiasa, Watanzania wapuuze taarifa hizo”———Gerson Msigwa @gersonmsigwa ...
  4. Nyani Ngabu

    Hakuna wafungwa wa kisiasa Tanzania

    Serikali, kupitia msemaji wake muda fupi uliopita imekanusha habari zilizoripotiwa na kituo cha runinga cha Kenya kuwa Rais Samia kaagiza wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru. Msemaji huyo kasema kuwa: 1. Tanzania haina wafungwa wa kisiasa. 2. Rais Samia hajatoa agizo kama hilo ambalo...
  5. Replica

    Dar: Serikali yakanusha kuachia Wafungwa wa Kisiasa, yasema Tanzania haina mfungwa wa kisiasa

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama. Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa...
  6. mr gentleman

    Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?

    Televisheni ya Citizen ya Kenya imeripoti kuwa Mama Samia ametoa maelekezo wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru. Je, Tanzania tuna wafungwa wa kisiasa? Ni kina nani hao wafungwa wa kisiasa anaowazungumzia Mama Samia? Au Citizen wanamchafua rais wetu? ===== Serikali ya Tanzania yakanusha...
Back
Top Bottom