Search results

  1. uttoh2002

    Swali kwa Chuo cha Uhasibu Arusha

    Hongereni kwa ujenzi wa Hostel, frames na majengo mengine mengi yanayoonekana karibu na fence mnayoendelea nayo. Swali langu: Kama zege ya 4 by 15 ( Estimate) mlishindwa isimamia, baada ya kujenga ikaporomoka kabla ya kukauka, mpaka mkahamisha gate kwa muda. Hii ni aibu Kubwa sana kwa mifumo...
  2. uttoh2002

    Hii nchi Haitujali kwa Dhati

    Kwa kweli ndugu zangu wa Tanzania, haya ni mambo ambayo yanasikitisha na kuonyesha hii nchi haitujali kwa dhati (Unaweza ongeza yako) : 1. Hivi inawezekanaje ni agenda serious Kabisa kwamba watu tufunge Mikanda (Jambo jema sana), Lakini kuna Magari ya abiria yenye leseni, Bima, safe sticker na...
  3. uttoh2002

    Kipindi Maalum ITV vs Wenza wa Wastaafu

    Leo nimesikiliza kipindi maalum cha Ulelingombe Morogoro Nikaumia sana, na kuongeza chuki kwa CCM na tawala zote. 1. Wana hali ya hewa nzuri kwa Kilimo. 2. Maji kwa ajili ya umwagiliaji na kilimo. 3. Ardhi nzuri yenye rutuba sababu ya Kilimo. Shida yao: Hawana miundombinu Mbinu ya barabara...
  4. uttoh2002

    Utafiti wangu Kuhusu APP za Mikopo

    Ninawasalimu wote katika Jumapili hii Njema, na tulivu. Naomba nisipoteze mda na niende kwenye mada moja kwa moja. Baada ya kuwa napata matangazo ya App za mikopo, nikaamua nifanye ka utafiti kadogo kuona zinavyofanya kazi. Kwa kipindi cha Miezi 2 nili download up 10, na nikakopa na kurudisha...
  5. uttoh2002

    Nachukia Nchi yangu - Serikali ijirekebishe

    Kwa kweli nachukia mambo yanayoendelea kwenye nchi yangu na uonevu mkubwa wa mifumo yetu. Niwape pole sana kwa report mbaya ya CAG, ila pia niseme kisa changu kinachoula moyo wangu. Nilikuwa nina safari ya Mbeya ya kikazi na gari langu, kweli ni my dream car na nimelinunua kwa gharama na...
  6. uttoh2002

    Inaonekana Simba mnamtema Gomez?

    Taarifa za awali kabisa ni kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC imemfuta kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Didier Gomes Da Rosa kutokana na kushindwa kuisaidia klabu hiyo kufuzu makundi ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League). Kwa sasa kikosi hicho kitakuwa chini ya Kocha Hitimana...
  7. uttoh2002

    Maswali yangu kwa CCM

    Ni saa 10 na nusu alfajiri na nimewaza sana usiku Huu, Kwa hiyo ninatamani kuwauliza wanachama wa CCM maswali machache! Kuna wamachama wengi sana wa CCM wenye akili, busara, Ufahamu na uwezo lakini ninaona kama wameacha uwezo wao wa kufikiri mahali! Maswali: - Mmekuwa na dola (serikali kwa...
  8. uttoh2002

    Fahamu hili kabla hujaamua kuacha ndoa au kutoka nje!

    Never give up on one another. Love can overcome all forms of hate. Love is strong. Love is real. Hold on to it and never let go. Also. Always. Love God!!!
  9. uttoh2002

    Nafikiri Mwamposa (Bulldoza) ana Kesi ya Mauaji

    Kwa heshima na moyo wa masikitiko nawaombea faraja wafiwa wote katika Ibada ya Mwamposa! Ninaimani serikali yangu sikivu haitalifumbia hili macho ili kuweka standard katika namna ya ku deal na hawa manabii fake! Mtu anapoitisha kongamano na kupata kibali anawajibika kuangalia usalama wa watu...
  10. uttoh2002

    Question to Vodacom Administration

    1. What is the point of reminding me to register my number every time I make a call while: - Due date is 20th Jan And today is 29! - I registered my number a while ago! Do you real care how I feel to be interrupted every time I make calls? 2. Why are you hiding your direct line to customer...
  11. uttoh2002

    Naomba ushauri nifanye nini baada ya kupoteza vyeti

    Habari za asubuhi wadau! Nimepoteza cheti changu cha form four, form Six na cha chuo pamoja na transcript. Nimejaribu tafuta contact za Wizara ila naona namba hazipo active, najua hapa wote mpo, nisaidieni tu kujua official means za kutafuta vyeti vyangu! Natanguliza shukrani, naomba tu...
  12. uttoh2002

    Julius Malema ataweka historia Afrika

    There is something special about huyu Mtu sio mbinafsi na anasimamia ukweli sana! Tuna viongozi wachache sana kama hawa duniani!
  13. uttoh2002

    Wanawake mlioolewa, usimpompa mumeo tunda jua atalitafuta nje

    Moja kwa moja kwenye mada, nimeoa sasa Nina miaka 25 kwenye ndoa, wanawake sijui nani kawavuruga ila mnavuruga ndoa zenu wenyewe. Mi sio Mtoka nje ya ndoa kabisa ila kama kuna siku yanatokea hayo ni sababu ya huyu mwenzenu. Wanawake mnajiaaahau sana na Inafika mahali mwanaume unaongea, unatoka...
  14. uttoh2002

    1 + 1 = 2, Chadema msituambie ni 3 ....

    Hili mi siandiki kwa furaha, naandika kwa masikitiko kidogo! Kwa kweli ninapenda fair play! Nikishindwa Mimi huwa ninakubali. Hakuna fair play kwenye Siasa, kwa hapa kwetu Moshi kwa kweli Chadema ilipiga hatua sana na ni kwa halali. Maswali kwa Chadema, mnawezaje kuyashinda haya? Na SWALI...
  15. uttoh2002

    Kwanini Rais Magufuli lazima aombewe ....

    Kama tunataka au hatutaki Mh, Dr, na Rais Magufuli ndiye rais wa Tanzania. Maamuzi yake yana athiri kila mtu, anayeishi Tanzania, Awe Mkristo, Muislam, dini yeyote hata asiye na dini. Anachoamua kima mazara kwa kila mtu. Based kwa kanuni za ki kristo, haijalishi una mtazamo gani kumhusu, ni...
  16. uttoh2002

    Professor Lipumba unatuharibu vijana wako

    Professor kwa masikitiko makubwa sana umeharibu sana na unaendelea kuharibu vijana na kizazi kinachokuja kwa kuonyesha kwamba wapiganaji wa kweli na haki wanaweza kununuliwa .... Hivi unafundisha nini vijana wapenda haki wenye hari na siasa kwa ajili ya kukomboa wa Tanzania ... kwa chochote...
  17. uttoh2002

    Enyi CCM Arusha kwa mkakati huu wa madiwani mnajisumbua

    Enyi wana CCM Arusha, kama mna mkono kwa hawa viongozi wanaohama Chadema, maana ni tetesi, ninawahakikishia manapoteza rasilimali zenu bila sababu, Mimi, pamoja na watu wenye akili timamu ninaowafaham, hatukuwachagua hawa madiwani sababu: - Wana sura nzuri sana. - Wanajua Siasa au kuzungumza...
  18. uttoh2002

    Landcruiser hardtop

    Waungwana nina landcruiser hard top yangu imeanguka, nilikuwa naipenda sana, Ilikuwa na livu sprring so ni old model. Kama kuna mtu ana hardtop ambayo imepark na aitumii tafadhali ni PM ili niicheki, na shida nayo kweli. hata kama engine na kila kitu vimekufa
  19. uttoh2002

    Nchi hii itakombolewa na wanaomlilia "MUNGU TU"

    Ndugu zangu, mimi pamoja na kupinga mambo mengi ya CCM, lakini napenda kusema kwamba Rais hana kosa wala na nia mbaya na ACT, hata kidogo ..... Na pia, Mwenyekiti wa ACT alikuwa na uhuru wa kukataa, hakulazimishwa, ameipenda nafasi na anakwenda kutumikia wa Tanzania! Hii maana yake nini...
  20. uttoh2002

    Mnajiabisha kwa Wananchi .....

    Hivi wanasiasa wa siku hizi wakoje? hawana sera, hawaongei vitu vya maana kazi kutafuta umaarufu kwa wananachi tu, hakuna kingine, na hii tabia inaongozwa na wanasiasa, Labda niulize maswali machache tu: - Mh Nyalandu, hivi unazunguka zunguka huku Arusha na hii issue ya hawa watoto, peke yako...
Back
Top Bottom