uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 15,934
- 29,971
Ndugu zangu, mimi pamoja na kupinga mambo mengi ya CCM, lakini napenda kusema kwamba Rais hana kosa wala na nia mbaya na ACT, hata kidogo ..... Na pia, Mwenyekiti wa ACT alikuwa na uhuru wa kukataa, hakulazimishwa, ameipenda nafasi na anakwenda kutumikia wa Tanzania!
Hii maana yake nini? Wapinzani wote (Including chadema), kujidai wanajali maslahi ya Watanzania ni unafiki mkubwa, hakuna mtu anajali hayo, wanajali matumbo yao tu, then kuongelea maslahi yetu ni basi tu kuboresha yao kwanza!
HII NCHI HII NCHI, haitakombolewa na upinzani, itakombolewa na watu wanaomlilia Mungu tu... tusiweke imani yetu kwa binadamu.
Hivi umewahi kujiuliza kwamba viongozi wa chadema na washirikia wao wanatokea wapo?
- Kwenye jamii hii hii ambamo wa CCM wanatoka.
- Kwenye makanisa haya haya ya wana CCM.
- Kwenye vyuo hivi hivi ambapo pia wanatoka wa CCM ...
- So mwanachadema ni Mtanzania na Mwana CCM ni Mtanzania!!!!
Kwa nini tuamini kwamba akishakuwa mwana CHADEMA anabadilika anakuwa mtakatifu, hii ni fikra ya kijinga kabisa, hawa ni kwamba wanatafuta mbinu rahisi za kuuza ambazo ni kujidai kutetea wanyonge, ndio maana ACT wakaja na business strategy ya azimio bla bla bla na socialist, ALL THESE ARE BUSINESS PEOPLE;
SWALI ;
- Wako wapi wale watu watakaomlilia Mungu juu ha hili TAIFA kwa dhati bila uchama?
- Wako wapi watakaoomboleza kweli kwa dhati mbele za Mungu?
- Kila mtu na dini yake kwa namna yake?

"AMELAANIWA AMTEGEMEAYE MWANADAMU"