Hii nchi Haitujali kwa Dhati

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
14,668
26,399
Kwa kweli ndugu zangu wa Tanzania, haya ni mambo ambayo yanasikitisha na kuonyesha hii nchi haitujali kwa dhati (Unaweza ongeza yako) :

1. Hivi inawezekanaje ni agenda serious Kabisa kwamba watu tufunge Mikanda (Jambo jema sana), Lakini kuna Magari ya abiria yenye leseni, Bima, safe sticker na gari zima halina Mikanda?

2. Hivi inawezekanaje mtu upande Bus ushushwe kwenye mgahawa, unapewa a plate kwa 8000/- wali haujaiva, chips boko boko kama ugali, nyama hazijaiva, huna option? Mamlaka zipo.

3. Hivi inawezekanaje Makonda, kada wa CCM mwenye lawama za kutosha na uonevu mkubwa, anaongozwa na msafara wa magari ya serikali ya mamilioni, lakini vijijini Wakina Mama zetu wanakufa sababu ya kususwa na manesi ambao hawalipwi vizuri wanalazimisha rushwa?

4. Hivi inawezekanajae trafic kusimama mahali ambao barabara ni mbovu, na hatari kusimama, anakusimamisha, hakuna pa kupaki, kuna siku niliwashawahi kugongwa, yani sio salama, sasa malengo ya trafic ni nini?

5. Hivi inawezekanaje mifumo ya serikali, mfano sumatra, inaweza kuwa na Shida hata week nzima, na ukienda unajibiwa hovyo, hapo nje kuna watu ambao wanakuongelesha kwamba wanaweza kukusaidia kwa charges?

6. Hivi inawezekanaje, nimepita TRA, nimepata clearance, nimefanikisha kila kitu kwa mateso Latra, naenda office ya Latra asubuhi ili niwahi kwenye kazi, najikuta mwenyewe, nangoja steaker kwa saa nzima, na kujibiwa hovyo? Ni sawa kweli?

7. Hivi inakuwaje mimi naleta serikalin hela yangu ya kodi, kamili na kwa uaminifu, leseni au mambo mengine, ili muipokee lazima nitoe rushwa? Hivi jamani huu ni utu kweli ndugu zangu.

8. Jamani, jamani! HAKUNA ajira, hii nchi, tumekubali, ni sawa, wacha vijana wetu wa pambane, ila:

1. Wanajiajiri.
2. Umeme unakatika.
3. Ratiba hakuna

Swali : Hivi mnafikiri hawa vijana watajipanga na kazi zao bila ratiba ya umeme? Jamani? Kutoa ratiba kuna shida gani?

Hemu fikirieni:

  • Saloon
  • Beauty parlors
  • Mafundi wa kuchomea
  • Magereji
  • Wafyatua matofali

Mnajua ni vijana wangapi wako kwenye hizi field? Wameoa, wanasomesha, waishije?

Baada ya kuwanyima umeme, TRA wanapita na tangazo, lipa Kodi yako kwa maendeleo ya Taifa, this is day light robbery.

Baada ya machungu yote haya, report ya CAG inakuja na maelezo ya kutosha juu ya wizi wa watumishi wa serikali, Hakuna hatua mnachukua!!!!!!!!!????????

Hivi serikali, sisi wananchi tumewakosea nini? Hemu tuambieni basi leo ili tuombe msamaha, tumalizane, tuishi kwa amani!
 
Mwanzoni kosa lilikua ni la CCM

Lakini kwasasa hali ilipofikia, kosa ni letu sisi Wananchi kwa kufumbia macho swala hili tumekua keyboard warrior bila kuchukua hatua.....
Wananchi tunaona huduma bora nk ni hisani na sio wajibu wa serikali,ndo maana leo wanatengeneza matatizo 10 wanatatua moja tunawapongeza
 
Kwa kweli ndugu zangu wa Tanzania, haya ni mambo ambayo yanasikitisha na kuonyesha hii nchi haitujali kwa dhati (Unaweza ongeza yako) :

1. Hivi inawezekanaje ni agenda serious Kabisa kwamba watu tufunge Mikanda (Jambo jema sana), Lakini kuna Magari ya abiria yenye leseni, Bima, safe sticker na gari zima halina Mikanda?

2. Hivi inawezekanaje mtu upande Bus ushushwe kwenye mgahawa, unapewa a plate kwa 8000/- wali haujaiva, chips boko boko kama ugali, nyama hazijaiva, huna option? Mamlaka zipo.

3. Hivi inawezekanaje Makonda, kada wa CCM mwenye lawama za kutosha na uonevu mkubwa, anaongozwa na msafara wa magari ya serikali ya mamilioni, lakini vijijini Wakina Mama zetu wanakufa sababu ya kususwa na manesi ambao hawalipwi vizuri wanalazimisha rushwa?

4. Hivi inawezekanajae trafic kusimama mahali ambao barabara ni mbovu, na hatari kusimama, anakusimamisha, hakuna pa kupaki, kuna siku niliwashawahi kugongwa, yani sio salama, sasa malengo ya trafic ni nini?

5. Hivi inawezekanaje mifumo ya serikali, mfano sumatra, inaweza kuwa na Shida hata week nzima, na ukienda unajibiwa hovyo, hapo nje kuna watu ambao wanakuongelesha kwamba wanaweza kukusaidia kwa charges?

6. Hivi inawezekanaje, nimepita TRA, nimepata clearance, nimefanikisha kila kitu kwa mateso Latra, naenda office ya Latra asubuhi ili niwahi kwenye kazi, najikuta mwenyewe, nangoja steaker kwa saa nzima, na kujibiwa hovyo? Ni sawa kweli?

7. Hivi inakuwaje mimi naleta serikalin hela yangu ya kodi, kamili na kwa uaminifu, leseni au mambo mengine, ili muipokee lazima nitoe rushwa? Hivi jamani huu ni utu kweli ndugu zangu.

8. Jamani, jamani! HAKUNA ajira, hii nchi, tumekubali, ni sawa, wacha vijana wetu wa pambane, ila:

1. Wanajiajiri.
2. Umeme unakatika.
3. Ratiba hakuna

Swali : Hivi mnafikiri hawa vijana watajipanga na kazi zao bila ratiba ya umeme? Jamani? Kutoa ratiba kuna shida gani?

Hemu fikirieni:

  • Saloon
  • Beauty parlors
  • Mafundi wa kuchomea
  • Magereji
  • Wafyatua matofali

Mnajua ni vijana wangapi wako kwenye hizi field? Wameoa, wanasomesha, waishije?

Baada ya kuwanyima umeme, TRA wanapita na tangazo, lipa Kodi yako kwa maendeleo ya Taifa, this is day light robbery.

Baada ya machungu yote haya, report ya CAG inakuja na maelezo ya kutosha juu ya wizi wa watumishi wa serikali, Hakuna hatua mnachukua!!!!!!!!!????????

Hivi serikali, sisi wananchi tumewakosea nini? Hemu tuambieni basi leo ili tuombe msamaha, tumalizane, tuishi kwa amani!
Kura yako ndiyo manusura ya nchi yetu
 
Hivi inawezekanaje Makonda, kada wa CCM mwenye lawama za kutosha na uonevu mkubwa, anaongozwa na msafara wa magari ya serikali ya mamilioni, lakini vijijini Wakina Mama zetu wanakufa sababu ya kususwa na manesi ambao hawalipwi vizuri wanalazimisha rushwa?
Anaenda kutatua kero ya Milioni Moja anatumia Milioni 50 kufika maeneo hayo.

Africa kuna shida kubwa sana
 
Back
Top Bottom