Enyi CCM Arusha kwa mkakati huu wa madiwani mnajisumbua

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
14,658
26,393
Enyi wana CCM Arusha, kama mna mkono kwa hawa viongozi wanaohama Chadema, maana ni tetesi, ninawahakikishia manapoteza rasilimali zenu bila sababu, Mimi, pamoja na watu wenye akili timamu ninaowafaham, hatukuwachagua hawa madiwani sababu:

- Wana sura nzuri sana.
- Wanajua Siasa au kuzungumza sana.
- Ni wema sana na waadilifu.

Tuliwachagua sababu tumeichoka CCM na dhuluma zake, sasa wakihama chama, hata mkiwasimamisha tena kugombea, sidhani kama watakuwa na mvuto ule ule kwa watu .... sijui labda wawe chachu ya ku mobolize watu wao, ila kwenye sanduku ni siri ya mpiga kura?????

Hemu mashindano yawe fair Jamani, ndo inapendeza!
 
Mkuu wala usihangaike na uvccm tuachie sisi wananchi tutawanyorosha mpaka wapate adabu
 
wapiga kura wa miaka ya 2000 sio sawa na wapiga kura wa 2017! halitasalia jiwe juu ya jiwe shubbbbbbbbbbaaaaaaaaaaamit zenu ccm na makando kando yenu!
 
Wana Lumumba wataaibika come 2020,dunia ya sasa ivi sio ya miaka ishirini iliyopita

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Duh ndo mechi inakaribia kuanza Mimi napita tu.ngoja ni kaangaike na NMB Bank then nitarudi ni comment Nina neno la kuchangia
 
Wana Lumumba wataaibika come 2020,dunia ya sasa ivi sio ya miaka ishirini iliyopita

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app

wapiga kura wa sasa hv ni design za kimanikia kbs hawatak figisu! nao hao madiwan hawajielewi waondoke tu wala hatutetereki
 
Back
Top Bottom