uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 15,917
- 29,889
Hivi wanasiasa wa siku hizi wakoje? hawana sera, hawaongei vitu vya maana kazi kutafuta umaarufu kwa wananachi tu, hakuna kingine, na hii tabia inaongozwa na wanasiasa, Labda niulize maswali machache tu:
- Mh Nyalandu, hivi unazunguka zunguka huku Arusha na hii issue ya hawa watoto, peke yako, hatujui connection yako na wao wala nini, hii maana yake nini? ungekuwa hata na mwenyeji basi? Mbunge? mkuu wa wilaya etc? Au Arusha ni Singida?
- Hivi kweli kuna haja ya kuwa na maneno na manunguniko kuhusu hela za rambirambi, yani kweli serikali Arusha mmekubali kabisa kulaumiwa kula rambirambi kwa sababu ya: 170m? kweli jamani? Serikali? jamani? how will 170m help you? hata bei moja ya gari la mkoani laweza zidi hiyo pesa?
- Hivi kulikuwa na sababu gani ya kuanza kuongea mambo mengi kwenye msiba na kujizungusha zungusha huku mkitegemea michango ya RAMBI RAMBI (hii michango inaitwaje? YA RAMBIRAMBI) then michango hii ilipe gharama, so serikali imetoa msaada gani? so uwepo wa Mama yetu mpendwa pale ulitegemea rambi rambi?
- Lema naye huyo, leo ataongea na waandishi kuja kulalama lalama tena, hii ni nini jamani? wakati mwingine kunyamaza ni hekima. Lema usihangaike, tunaona yote haya, na kwa haya CCM wanajichimbia kaburi la kudumu, Arusha hawataamka tena, lengo lako lema la press ni nini? Kila kitu kipo wazi tunaona?
- Mnapotumia haya matatizo yetu kama fursa, tunaweza kufikiri kwamba mnangoja na mengine yatokee, si fursa bwana? kwa nini msiishie kwenye lengo la kutoa pole tu basi, IKATOSHA ndugu zangu. Maana NASHAWISHIKA KWAMBA SISI WATANZANIA WENYEWE BILA NYIE WANASIASA KWA UNDUGU wetu inatosha, KULIKO nyie kutumia matatizo yenu kwa maslahi yeuu.
MNAJIAIBISHA SANA NA TUNAWAONA MAJUHA KABISA, HUU NDIO UKWELI.