Julius Malema ataweka historia Afrika

Malema anatafuta publicity tuu. Kapima upepo kaamua aunge hoja upande wa walio wengi.

Subirini miaka 10 ijayo biashara ndogondogo zikamatwe na wachina karibia zote then tuone kama hayajatokea ya SA.

Shida ya SA serikali imeshindwa kuzuia wahamiaji haramu wanaomiminika kwa wingi wakijua kuna maisha mazuri sababu SA iko katika viwango vya dunia ya kwanza.

Kitendo cha serikali kutodhibiti huu uhamiaji wa kiholela ndio kimeleta haya yote.

Serikali ya SA ikitaka itatue hili tatizo basi iwakusanye wahamiaji haramu woote iwarudishe makwao uone km kuna mtu atauawa.

Unforgetable
 
Nimefuatilia speech zake baada ya matukio haya.
Zinatia moyo sana. Nina hakika zitapunguza vitendo hivyo vya kibaguzi. He is so Real.
 
Malema anatafuta publicity tuu. Kapima upepo kaamua aunge hoja upande wa walio wengi.

Subirini miaka 10 ijayo biashara ndogondogo zikamatwe na wachina karibia zote then tuone kama hayajatokea ya SA.

Shida ya SA serikali imeshindwa kuzuia wahamiaji haramu wanaomiminika kwa wingi wakijua kuna maisha mazuri sababu SA iko katika viwango vya dunia ya kwanza.

Kitendo cha serikali kutodhibiti huu uhamiaji wa kiholela ndio kimeleta haya yote.

Serikali ya SA ikitaka itatue hili tatizo basi iwakusanye wahamiaji haramu woote iwarudishe makwao uone km kuna mtu atauawa.

Unforgetable
Ulishawahi kufika South Africa ndugu? Wasauzi ni watu wenye historia ya uhalifu na umalaya. Hata vurugu hizi wale wahuni wanavunja maduka ya wageni bkla kjjali yupi ana vibali halali vya kuishi sauzi. Kama vurugu za jana walikua wanajhnja tu na kuiba hata maduka ya wasauzi yamevunjwa na kuibiwa. Watafukuza wale wanaowaita undocumented foreigners lakini haitakua suluhisho hata kidogo.
 
Malema anatafuta publicity tuu. Kapima upepo kaamua aunge hoja upande wa walio wengi.

Subirini miaka 10 ijayo biashara ndogondogo zikamatwe na wachina karibia zote then tuone kama hayajatokea ya SA.

Shida ya SA serikali imeshindwa kuzuia wahamiaji haramu wanaomiminika kwa wingi wakijua kuna maisha mazuri sababu SA iko katika viwango vya dunia ya kwanza.

Kitendo cha serikali kutodhibiti huu uhamiaji wa kiholela ndio kimeleta haya yote.

Serikali ya SA ikitaka itatue hili tatizo basi iwakusanye wahamiaji haramu woote iwarudishe makwao uone km kuna mtu atauawa.

Unforgetable
Kma mtu humjui bora ukae kimya kuliko kujifanya na wewe unacomment upate likes humu, Harakati za J.Malema sio za msimu, ni siku zote miaka yote. He is real freedom fighter, hana unafiki, huyu ni kama Lissu wa Bongo
 
haiko kwenye first iko second
 
Malema ni jasiri sana,amewaambia ni heri wasimuunge mkono na wasiiunge mkono EFF kuliko kuuwa waafrika wenzetu
 
Malema anatafuta publicity tuu. Kapima upepo kaamua aunge hoja upande wa walio wengi.

Subirini miaka 10 ijayo biashara ndogondogo zikamatwe na wachina karibia zote then tuone kama hayajatokea ya SA.

Shida ya SA serikali imeshindwa kuzuia wahamiaji haramu wanaomiminika kwa wingi wakijua kuna maisha mazuri sababu SA iko katika viwango vya dunia ya kwanza.

Kitendo cha serikali kutodhibiti huu uhamiaji wa kiholela ndio kimeleta haya yote.

Serikali ya SA ikitaka itatue hili tatizo basi iwakusanye wahamiaji haramu woote iwarudishe makwao uone km kuna mtu atauawa.

Unforgetable
Unahakika wanaodhuriwa na hao Wa S.A wote ni wahamiaji Haramu?Na je hata kama ndivyo,unadhani wa S.A wanatumia njia sahihi kutatua tatizo ?
 
Kma mtu humjui bora ukae kimya kuliko kujifanya na wewe unacomment upate likes humu, Harakati za J.Malema sio za msimu, ni siku zote miaka yote. He is real freedom fighter, hana unafiki, huyu ni kama Lissu wa Bongo
Nawewe umechafua hapo pa Lisu.
 
Kwenye kampeni zake alikuwa akitaka Wazungu wanyanganywe mashamba
 
Malema anatafuta publicity tuu. Kapima upepo kaamua aunge hoja upande wa walio wengi.

Subirini miaka 10 ijayo biashara ndogondogo zikamatwe na wachina karibia zote then tuone kama hayajatokea ya SA.

Shida ya SA serikali imeshindwa kuzuia wahamiaji haramu wanaomiminika kwa wingi wakijua kuna maisha mazuri sababu SA iko katika viwango vya dunia ya kwanza.

Kitendo cha serikali kutodhibiti huu uhamiaji wa kiholela ndio kimeleta haya yote.

Serikali ya SA ikitaka itatue hili tatizo basi iwakusanye wahamiaji haramu woote iwarudishe makwao uone km kuna mtu atauawa.

Unforgetable
Kumbuka nae alisaidiwa kipindi kile
 
Vema sasa soma upande wa pili wa story za Mr.Malema,google kuhusu VBS bank na soma habari zake,huwezi ukawa mtetezi wa watu wanaoishi Tandale na ukawa unaishi Masaki na kujirusha Serena Hotel na kuvaa maovaloli nje wakati ndani umevaa Gucci!!
 
Back
Top Bottom