Naomba ushauri nifanye nini baada ya kupoteza vyeti

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
14,649
26,374
Habari za asubuhi wadau!

Nimepoteza cheti changu cha form four, form Six na cha chuo pamoja na transcript. Nimejaribu tafuta contact za Wizara ila naona namba hazipo active, najua hapa wote mpo, nisaidieni tu kujua official means za kutafuta vyeti vyangu!

Natanguliza shukrani, naomba tu mnaojua mnisaidie maana sitaki kubahatisha kusafiri bila kuwa na utaratibu sahihi.
 
Ni immediately au na submit na kungoja?
Sijui kwa chuo ila necta hawatoi cheti mara mbili. Watakachofanya watakupa mbadala wa cheti ila cheti original hawatoi kaabisa. Na sio swala la go and flow lazima wapate muda wa kujiridhisha.
 
Rudia Sekondari mkuu coz cha la7 unacho,(Natania bhana)Kwanza pole sana broo,ila fanya Kwenda Necta kwa hivyo vya 4&6,but vya Chuo kama ni Certificate na Diploma nenda Nacte,kama ni Degree nakuendelea nenda chuo.
 
Habari za asubuhi wadau! Nimepoteza cheti changu cha form four, form Six na cha chuo pamoja na transcript!

Nimejaribu tafuta contact za wizara ila naona namba hazipo active, najua hapa wote Mpo: Nisaidieni tu kujua official means za kutafuta vyeti vyangu!

Natanguliza shukrani, naomba tu mnaojua mnisaidie maana sitaki kubahatisha kusafiri bila Kuwa na utaratibu sahihi....

Taja jina lako moja mana kuna tangazo huku WhatsApp la vyeti kuokotwa
 
Back
Top Bottom