Wanawake mlioolewa, usimpompa mumeo tunda jua atalitafuta nje

Wanawake mlioolewa, usimpompa mumeo tunda jua atalitafuta nje

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
19,916
Reaction score
38,688
Moja kwa moja kwenye mada, nimeoa sasa Nina miaka 25 kwenye ndoa, wanawake sijui nani kawavuruga ila mnavuruga ndoa zenu wenyewe.

Mi sio Mtoka nje ya ndoa kabisa ila kama kuna siku yanatokea hayo ni sababu ya huyu mwenzenu.

Wanawake mnajiaaahau sana na Inafika mahali mwanaume unaongea, unatoka nje ya ndoa Basi tu ili amani iwepo na ukidhi haja yako.

Ni mbaya sana sana sana kumnyima mme tendo la ndoa, mbaya sana, au kufanya kama kitu cha kumadhibu nacho, unajiadhibu mwenyewe!

Ukimnyima mwanamme sex a lot will be going in his head, akijiuliza maswali mengi sana na mwishowe utashangaa tu amani inapungua.

Ukiona unamnyima, mara nimechoka mara hivi na halalmiki, jua kapata pa kupumzika, eti unasema Baba Musa hawezi nifanyia, nakwambia huyo huyo Baba Musa anakula House girl wako.

Wanawake wana nguvu kubwa sana kuamua nini kitokee kwenye ndoa zao ila wakiamua kuwa waharibifu ni hatari sana sana, badilikeni.
 
Hivi inakuwaje mpaka unanyimwa
Chanzo itakuwa mume humfurahishi, humridhishi, hauko romantic, yaani siku nzima hujishughulishi kutengeneza mazingira viutani utani, akiwa karibu vihug vikofi vya mahaba, kunguruma tu kama simba ndani halafu usiku unabambia , unafikiri patafunguka kirahisi.
 
Sasa broo usiumie kichwa,kwa vile uko kwenye game long time, weka consideration sana kwenye watoto tu,usiumize kicha kwa mtu mliokutana ukubwani kila mtu akiwa na meno 32,
kuwa bize na watoto tu,
tafuta kamanzi kamoja kakuzugia,au kama vipi akapumzike kwao au wewe uchukue likizo uwe nae mbali kwa muda,.
 
Hivi inakuwaje mpaka unanyimwa
Chanzo itakuwa mume humfurahishi, humridhishi, hauko romantic, yaani siku nzima hujishughulishi kutengeneza mazingira viutani utani, akiwa karibu vihug vikofi vya mahaba, kunguruma tu kama simba ndani halafu usiku unabambia , unafikiri patafunguka kirahisi.

Kweli kabisa unakuta siku nzima hujamtafuta mamsap hata viutani utani huna jioni unataka awe na nyege kama zako duh
 
Angalia vibenteni au vichwa maji wanaweza kuwa wanakula chakula yako anashiba na kuchoka?!! Hahhahah! Natania!
 
Kichwa cha chini kikivurugwa kile juu kinaishiwa akili Kama hivi
 
Kweli Mhando,mada zingine za kutunga tu.Ukute mleta mada ni hanithi na mvuta bangi nguli ana mke/hawara mjinga mjinga kama yeye halafu analeta uongo kwa sababu yupo nyuma ya keyboard na id fake.
Hahaha
 
Ni moja ya sababu wazee wetu walikuwa na wake wengi...

Nguvu ya mwanamke ipo kwenye ngono na ulimi..Jua hilo kwanza ili ukiona mkeo anatumia vibaya hayo mambo mawili basi ujue na wewe unahandle vipi situations..

As Man lazima ujue,kuna kipindi mwanamke atatumia either ngono au ulimi wake kuhakikisha anapata kitu flani kwako au ana kuadhibu.

Kwanini wanaume baadhi wanakuwa Malaya sababu Ni kumnyima mwanamke nguvu ya kutumia ngono km fimbo.Ukikuta una kamchepuko automatically angejua kabisa hana uwezo wa kutumia ngono km fimbo moja kwa moja ungepambana na maneno...Na ukikutana na unapiga beer basi ndo kabisa unarudi zako sa sita usiku unakuta mtu kalala na jeans basi unaamkia weekend unaenda kunywa supu kwa mchepuko Ni upuuzi lkn utafanyaje sasa maana sisi mapenzi bila ngono hatuyawezi kabisaaa?
Now she is powerless Ni either awe mpole mjenge ndoa au asepe kila mtu afanye yake.

Mwanamke atavunja ndoa kwa mikono yake ndo hiyo sasa...
 
Usitake kusema wanaume wooote wachepukaji wananyimwa tendo la ndoa na wake zao... We jamaa acha uongo
 
Dawa ya mwanamke jeuli ni kumtafutia mke mwenza. Kama imani yako inakusuta kama yangu basi komaa naye, mme habaki mke wake pambana komaa naye, weka jitihada mpaka atoe. Uzuri hata kama amenuna, akifungua wewe ingia kama ni kuumia kwa kukosa maandalizi ni yeye kidume raha ipo kwenye ku pease out yale mabomu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom