Professor Lipumba unatuharibu vijana wako

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
14,664
26,395
Professor kwa masikitiko makubwa sana umeharibu sana na unaendelea kuharibu vijana na kizazi kinachokuja kwa kuonyesha kwamba wapiganaji wa kweli na haki wanaweza kununuliwa .... Hivi unafundisha nini vijana wapenda haki wenye hari na siasa kwa ajili ya kukomboa wa Tanzania ... kwa chochote unachopata na umri uliona sasa jua yafuatayo:

- Unakatisha tamaa vijana wengi kwenye masuala ya Siasi, mapinduzi na kusimamia haki.
- Unaweka doa kwenye historia ya siasa ya vyama vingi Tanzania, haya mambo huishi milele.
- Ni legacy gani unaiacha kwa Taifa lako Mzee?
- Elimu yako imekusaidia nini?
- Unawafundisha nini waumini wa dini? hata hija umeenda, unakatisha tamaa.
- Unatufundisha kwamba maslahi ni kabla ya Imani zetu.

MIMI KAMA KIJANA NA MTANZANIA KWA KWELI NINASIKITIKA SANA MZEE KAMA WEWE, MSOMI, UNA IMANI YAKO, UMEHESHIMIKA KUNIDHIHIRISHIA KWAMBA SIASA NI MASLAHI.... BORA HATA MZEE WETU ALIYEENDA CANADA, SIO WEWE!

NAKUOMBEA MUNGU AKUSAIDIE KUTAMBUA KWAMBA FEDHA, NA KILA KITU VINAPITA, ILA HESHIMA, HAKI NA USAWA VITADUMU NA KUTUSAIDIA KWENYE MAISHA YAJAYO.
 
Alishajitoa ufahamu, ile elimu ya uprof kwa sasa ni mapambo, anatumia ya KKK ili kushiba
 
Huyu hajaanza Leo, huyu ni Aibu na fedheha kubwa kwa Taifa hili, ni Kati ya mifano mibaya sana ktk hii Nchi. Kwa kifupi huyu ni laana ktk nchi yoyote.

Kaka umeenda mbali, laana kabisa? inasikitisha sana, ni aibu sana kwa taifa ...
 
Nilikuwa najiulizaga sanaa kama huyu ni prof tena wa uchumi kwanin huwa hawampi wizara husika?
Sasa ndio nimeelewa bhana kumbe watu walishamchungulia daah acha tu hata kina makonda watese tufanyaje sasa kama wazee wenyewe ovyoo
 
Professor kwa masikitiko makubwa sana umeharibu sana na unaendelea kuharibu vijana na kizazi kinachokuja kwa kuonyesha kwamba wapiganaji wa kweli na haki wanaweza kununuliwa .... Hivi unafundisha nini vijana wapenda haki wenye hari na siasa kwa ajili ya kukomboa wa Tanzania ... kwa chochote unachopata na umri uliona sasa jua yafuatayo:

- Unakatisha tamaa vijana wengi kwenye masuala ya Siasi, mapinduzi na kusimamia haki.
- Unaweka doa kwenye historia ya siasa ya vyama vingi Tanzania, haya mambo huishi milele.
- Ni legacy gani unaiacha kwa Taifa lako Mzee?
- Elimu yako imekusaidia nini?
- Unawafundisha nini waumini wa dini? hata hija umeenda, unakatisha tamaa.
- Unatufundisha kwamba maslahi ni kabla ya Imani zetu.

MIMI KAMA KIJANA NA MTANZANIA KWA KWELI NINASIKITIKA SANA MZEE KAMA WEWE, MSOMI, UNA IMANI YAKO, UMEHESHIMIKA KUNIDHIHIRISHIA KWAMBA SIASA NI MASLAHI.... BORA HATA MZEE WETU ALIYEENDA CANADA, SIO WEWE!

NAKUOMBEA MUNGU AKUSAIDIE KUTAMBUA KWAMBA FEDHA, NA KILA KITU VINAPITA, ILA HESHIMA, HAKI NA USAWA VITADUMU NA KUTUSAIDIA KWENYE MAISHA YAJAYO.
Mwambie Seifu hayo maneno yeye ndie anatumika kama dodoki na akina Mbowe
 
profesa ni pandikizi limepandikizwa tangu wakati vyama vingi vinaanza,ili aingie kwenye upinzani na akapewa uprofesa fake ili apate heshima, watu aina hii bado wapo kwenye vyama vya upinzani watajitokeza kila wanapohitajika,

wanakuwa sio binadam kamili ni kama misukule hawana hisia zozote wanaweza kuwa activated au deactivated time yeyote bila ya kujali jana alikuwa nani au nini anaharibu hawajielewi wala hawajali,wao ni actors kwenye maisha, anachojali ni kuwa perfect katika kutimiza maagizo anayopewa tu.

watu aina hii mara nyingi wanakuwa hawana family hawana mke wala watoto,na jamaa zao pia hawajulikani sana,au wanakuwa ni jamaa feki tu au hata kama wana family pia zinakuwa feki hamna hisia za kifamily wote wanakuwa kazini tu
 
profesa ni pandikizi limepandikizwa tangu wakati vyama vingi vinaanza,ili aingie kwenye upinzani na akapewa uprofesa fake ili apate heshima, watu aina hii bado wapo kwenye vyama vya upinzani watajitokeza kila wanapohitajika,

wanakuwa sio binadam kamili ni kama misukule haina hisia zozote wanaweza kuwa activated au deactivated time yeyote bila ya kujali jana alikuwa nani au nini anaharibu hawajielewi wala hawajali,wao ni actors kwenye maisha, anachojali ni kuwa perfect katika kutimiza maagizo anayopewa tu.

watu aina hii mara nyingi wanakuwa hawana family hawana mke wala watoto,na jamaa zao pia hawajulikani sana,au wanakuwa ni jamaa feki tu au hata kama wana family pia zinakuwa feki hamna hisia za kifamily wote wanakuwa kazini tu

Kama ni kweli hili linakatisha tamaa sana sana!
 
Bila utafiti huna haki ya kunena juu ya kadhia yoyote. Inaonekana ww ni mtu wa mihemko tu kufuata kundi kama kondoo bila kujua wapi kundi hilo linakwenda na kwa madhumuni gani. Profesa Lipumba anachofanya ni kuinusuru CUF isitumbukia kwenye mtego wa kumezwa na Chadema, wakati ambapo Seif Sharifu anaifunga CUF pingu za mikono na miguu na kuipeleka mikononi mwa Chadema kwa tamaa ya fedha na ahadi ya Chadema ya kuwa watamsaidia kuitoa Zanzibar kwenye Muungano (yaani kuvunja Muungano wa Tz ambapo ni kutenda UHAINI).

Kwa taarifa yako, vifuatavyo ni baadhi tu ya vituko vya Chadema dhidi ya CUF chini ya usimamizi wa Seif Sharifu:-

1. Kwenye Bunge la 2010 Chadema walikuwa wanaitukana CUF na viongozi wake kuwa eti ni CCM B kwa vile tu walikuome kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar.

2. Kwenye Bunge hilo Chadema waliwanyima CUF nafasi za Uwaziri vivuli kwa vile eti ni CCM B.

3. Chadema wavunja makubaliano yote ya UKAWA dhidi ya CUF kwa kusimamisha wagombea wa Chadema kwenye majimbo yote waliopangiwa CUF na hivyo kuzigawa kura za CUF kulikopelekea CUF kokosa viti vingi mno. Mifano hai ni majimbo yafuatayo - Segerea (Mtatiro wa CUF akashindwa), Mtama (CUF) ikashindwa, Tabora (Katuga wa CUF akashindwa), n.k. Mbaya zaidi viongozi wa CUF walipolalamikia kwa Prof Baregu wa Chadema juu ya hujuma hizo, jibu lake ni kuwa walikubaliana na Seif Sharifu kuwa kwa upande wa T/Bara CUF wasigombee jimbo hata moja, badala yake yote waachiwe Chadema.
3. Seif Sharifu alipokutana na uongozi wa CUF (2015) kabla ya uchaguzi, aliulizwa swali vp uongozi huo umnadi Lowasa wa Chadema? Ni manufaa gani kwa CUF yatapatikana? Seif aliuambia ungozi huo kuwa tayari yeye alishapokea shilingi bilioni 3 toka Ukawa na kwamba angewapatia kiasi cha shilingi milioni thalathini na mbili kila jimbo lililosimamisha wagombea wa ubunge na udiwani. Lakini wapi, waliambuli milioni 2.5 au 3 tu, tena kwa baadhi tu ya majimbo.

Ni dhahiri kuwa Seif akishirikiana na Chadema lengo lao ni kuifuta CUF huku Bara. Naomba Seif Sharif achukue udhu kisha alishwe yamini hadharani kama hujuma hizi hakuzifanya.

Swali hapa nani msaliti na mnafiki anaepokea rushwa kwa kazi ya kukiuua cha cha CUF? Ivo ni Lipumba au Seif Sharifu? Haya ni baadhi tu ya madhambi ya Seif Sharifu na kundi lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Professor kwa masikitiko makubwa sana umeharibu sana na unaendelea kuharibu vijana na kizazi kinachokuja kwa kuonyesha kwamba wapiganaji wa kweli na haki wanaweza kununuliwa .... Hivi unafundisha nini vijana wapenda haki wenye hari na siasa kwa ajili ya kukomboa wa Tanzania ... kwa chochote unachopata na umri uliona sasa jua yafuatayo:

- Unakatisha tamaa vijana wengi kwenye masuala ya Siasi, mapinduzi na kusimamia haki.
- Unaweka doa kwenye historia ya siasa ya vyama vingi Tanzania, haya mambo huishi milele.
- Ni legacy gani unaiacha kwa Taifa lako Mzee?
- Elimu yako imekusaidia nini?
- Unawafundisha nini waumini wa dini? hata hija umeenda, unakatisha tamaa.
- Unatufundisha kwamba maslahi ni kabla ya Imani zetu.

MIMI KAMA KIJANA NA MTANZANIA KWA KWELI NINASIKITIKA SANA MZEE KAMA WEWE, MSOMI, UNA IMANI YAKO, UMEHESHIMIKA KUNIDHIHIRISHIA KWAMBA SIASA NI MASLAHI.... BORA HATA MZEE WETU ALIYEENDA CANADA, SIO WEWE!

NAKUOMBEA MUNGU AKUSAIDIE KUTAMBUA KWAMBA FEDHA, NA KILA KITU VINAPITA, ILA HESHIMA, HAKI NA USAWA VITADUMU NA KUTUSAIDIA KWENYE MAISHA YAJAYO.
What I have Learned in a year time from him is about being a Public figure who does not keep his words
 
Bila utafiti huna haki ya kunena juu ya kadhia yoyote. Inaonekana ww ni mtu wa mihemko tu kufuata kundi kama kondoo bila kujua wapi kundi hilo linakwenda na kwa madhumuni gani. Profesa Lipumba anachofanya ni kuinusuru CUF isitumbukia kwenye mtego wa kumezwa na Chadema, wakati ambapo Seif Sharifu anaifunga CUF pingu za mikono na miguu na kuipeleka mikononi mwa Chadema kwa tamaa ya fedha na ahadi ya Chadema ya kuwa watamsaidia kuitoa Zanzibar kwenye Muungano (yaani kuvunja Muungano wa Tz ambapo ni kutenda UHAINI).

Kwa taarifa yako, vifuatavyo ni baadhi tu ya vituko vya Chadema dhidi ya CUF chini ya usimamizi wa Seif Sharifu:-

1. Kwenye Bunge la 2010 Chadema walikuwa wanaitukana CUF na viongozi wake kuwa eti ni CCM B kwa vile tu walikuome kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar.

2. Kwenye Bunge hilo Chadema waliwanyima CUF nafasi za Uwaziri vivuli kwa vile eti ni CCM B.

3. Chadema wavunja mak

ubaliano yote ya UKAWA dhidi ya CUF kwa kusimamisha wagombea wa Chadema kwenye majimbo yote waliopangiwa CUF na hivyo kuzigawa kura za CUF kulikopelekea CUF kokosa viti vingi mno. Mifano hai ni majimbo yafuatayo - Segerea (Mtatiro wa CUF akashindwa), Mtama (CUF) ikashindwa, Tabora (Katuga wa CUF akashindwa), n.k. Mbaya zaidi viongozi wa CUF walipolalamikia kwa Prof Baregu wa Chadema juu ya hujuma hizo, jibu lake ni kuwa walikubaliana na Seif Sharifu kuwa kwa upande wa T/Bara CUF wasigombee jimbo hata moja, badala yake yote waachiwe Chadema.
3. Seif Sharifu alipokutana na uongozi wa CUF (2015) kabla ya uchaguzi, aliulizwa swali vp uongozi huo umnadi Lowasa wa Chadema? Ni manufaa gani kwa CUF yatapatikana? Seif aliuambia ungozi huo kuwa tayari yeye alishapokea shilingi bilioni 3 toka Ukawa na kwamba angewapatia kiasi cha shilingi milioni thalathini na mbili kila jimbo lililosimamisha wagombea wa ubunge na udiwani. Lakini wapi, waliambuli milioni 2.5 au 3 tu, tena kwa baadhi tu ya majimbo.

Ni dhahiri kuwa Seif akishirikiana na Chadema lengo lao ni kuifuta CUF huku Bara. Naomba Seif Sharif achukue udhu kisha alishwe yamini hadharani kama hujuma hizi hakuzifanya.

Swali hapa nani msaliti na mnafiki anaepokea rushwa kwa kazi ya kukiuua cha cha CUF? Ivo ni Lipumba au Seif Sharifu? Haya ni baadhi tu ya madhambi ya Seif Sharifu na kundi lake.

Sent using Jamii Forums mobile app

NI MTIZAMO WAKO ....
 
Back
Top Bottom