Kushuka kwa bei za gesi asilia kutaongeza matumizi ya gesi asilia hivyo kupunguza matumizi ya mkaa ama mkaa usitumike kabisa. Hii ni njia mojawapo ya kutunza mazingira yetu.
Hii itapunguza kukata miti hovyo na kutunza uoto wa asili
Kuwa na hali ya hewa safi kwa vile miti hutumia hewa chafu...
Utupaji wa taka hovyo ni changamoto za utunzaji wa mazingira, Serikali na wadau mbali mbali wanaweza kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira.
Kuanzisha sheria itakayopinga utupaji wa taka hovyo, Kutengeneza dustbin kubwa na kuziweka kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu kisha zikijaa...
1 Chipsi. Mtaji ni mdogo hapa unaeza anza na ndoo moja ya viazi, mafuta lita 2 vyombo vya kupikia na vyombo vya kuuzia bila kisahau genge ama banda la kupikia na kuuzia.
2 Sambusa. Mapishi ya sambusa pia ni biashara nyingine isiyohitaji mtaji mkubwa.
3 Maandazi. Biashara ya kuuza mandazi...
1. Genge la mboga mboga na matunda. Hii ni biashara ambayo mtu ataweza kuanzisha kwa mtaji mdogo kabisa na ikampatia kipato cha kujiendesha kimaisha ama kutunza familia, kulipa kodi ya pango n.k
2. Duka la reja reja. Hii ni aina nyingine ya biashara ambayo utaweka vitu vya matumizi ya kila...
1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k
_ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k
2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
Ujasiriamali ni jinsi ya kubaini matatizo au changamoto zilizopo kwenye jamii husika na kuzitatua changamoto hizo kwa kubuni mbinu ama vitu ambavyo vitapunguza ama kumaliza kabisa changamoto hizo kwenye jamii mfano kuchimba visima kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa kuku, mbuzi , n.k...
Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote.
Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni engineers, nurses, wahasibu, doctors, mafundi kama fundi bomba, fundi nyumba, fundi kupaua, na wengine wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.