Bei za gesi zipungue ili matumizi ya mkaa yapungue

Livingson1

Member
Jul 13, 2021
30
26
Kushuka kwa bei za gesi asilia kutaongeza matumizi ya gesi asilia hivyo kupunguza matumizi ya mkaa ama mkaa usitumike kabisa. Hii ni njia mojawapo ya kutunza mazingira yetu.

Hii itapunguza kukata miti hovyo na kutunza uoto wa asili

Kuwa na hali ya hewa safi kwa vile miti hutumia hewa chafu iliyopo kwenye mazingira na kutoa oxygen.

Hata madawati pia tutapata kwa urahisi kwaajili ya wanafunzi shuleni

N.k
 
Back
Top Bottom