Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

Livingson1

Member
Jul 13, 2021
30
26
1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k

_ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k

2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake zinakuja kwenye nyama, maziwa, mbolea,pembe na kwato huzalisha gundi,
_pia unaweza fuga kondoo ama ngombe

3. Ufugaji wa sungura. Faida za sungura hazitofautiani na faida za mbuzi lakini sungura huzaa watoto wengi na ni rahisi kumfuga kwenye eneo dogo

_Mkojo wa sungura ni mzuri sana kwa mbolea

4. Ufugaji wa ngurue. Hii ndio biashara inayochipukia kwa sasa. Pia ngurue huzaa watoto wengi kwa mpigo, faida zake nyingine ni kama zile za mbuzi

5. Ufugaji wa nyuki. Ufugaji wa nyuki ni mrahisi tu ukiwa na eneo la kutosha faida za nyuki ni asali hii hutumika kama kiungo kwenye vyakula lakini pia hutumika kama dawa na hata kuoshea vidonda kwa watu wenye ugonjwa wa sukari, uchavushaji ni faida nyingine kubwa ya nyuki, masega ya nyuki hutumika kutengenezea mishumaa

6. Ufugaji wa samaki. Samaki wana source kubwa ya protein ambayo hutumika kwa ukuaji, mafuta ya samaki pia watu wanasema ni dawa, lakini pia kipato kutokana na samaki, kuna samaki wa mapambo pia
7 ufugaji wa mbwa. Kufuga mbwa kama biashara tutajipatia kipato lakini pia mbwa hutumika kwa ulinzi nyumbani
8.kilimo cha mazao tofauti kwaajili ya chakula na biashara hii ni njia nyingine ya kujipatia kipato
 
Watu wanataka pesa za kila siku hata kama ni ndogo ila awe na uhakika kila siku anapata pesa ya kuhudumia maisha yake na familia.

hizo biashara ulizotaja zinawafaa wastaafu au watu ambao tayari wameshazipata...

Biashara hizo zipo ktk kundi la (biashara ongeza kipato)

Wakati unasubiri sungura azae,nguruwe azae,kuku wakue (hapo kati kati unakua unafanya nini?)

Biashara ni nzuri sana hizo ila yapasa uwe una plan na backup ya pesa ili hiyo miradi iweze kukua na kukupa matokeo chanya.
 
Samahani mkuu nje ya mada kidogo naomba kuuliza, hivi mtu alie Fundi mfano welding, Carpenter, mechanical, Mason, nk. Wanaweza kufanya ufundi wao Kama biashara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanataka pesa za kila siku hata kama ni ndogo ila awe na uhakika kila siku anapata pesa ya kuhudumia maisha yake na familia.

hizo biashara ulizotaja zinawafaa wastaafu au watu ambao tayari wameshazipata...

Biashara hizo zipo ktk kundi la (biashara ongeza kipato)

Wakati unasubiri sungura azae,nguruwe azae,kuku wakue (hapo kati kati unakua unafanya nini?)

Biashara ni nzuri sana hizo ila yapasa uwe una plan na backup ya pesa ili hiyo miradi iweze kukua na kukupa matokeo chanya.
Hapana nakupinga mkuu CONTROLA.
Kuna binti anafuga kuku wa nyama lakini ilifika wakati akakata tamaa kwawababu ya bei ndogo sokoni(kwa walanguzi).akapata wazo la kununua freezer kubwa ya kugandisha,kuku wakikua anachinja wote anatunza kwenye freezer anatoa kuku kwenye freezer anakaanga na anauza mwenyewe kidogo kidogo,wakati huo bandani anavifaranga wapya wanakua,mpaka akawa maarufu kiasi mpaka akawa anapokea oder kubwa ya nyama za kuku kwenye sherehe n,k.
Kumbuka kunamsemo usemao safari moja huanzisha nyingine,kikubwa kuwa mbunifu mambo mengine yanajiseti yenyewe kama ukiwa mbinifu kama ulivyo wewe CONTROLA
 
Hiyo inawezekana lkn usitegemee watu waje kununua kuku, ww tafuta watu wenye shida ya kuku ,mfano mahotelini, ukipata hoteli 5 ambazo kwa kila mwezi upeleke kuku 60 kila hoteli bado hujauzaza?, nenda kamuuzie mtu wa mwisho usimuuzie mtu ambae nae anakwenda kuuuza
 
Lkn pia kitu kingine ambacho kinaweza kukutoa kwa haraka ni kilimo cha mboga mboga na matunda , kama ,tikiti,nyanya maji, vitunguu, mchicha, chainiz , spinach, pili pili hoho, nyanya chungu, kunde , kumbuka hapo unaweza kuvuna kuanzia wiki 2 mpka cku 90,
 
Watu wanataka pesa za kila siku hata kama ni ndogo ila awe na uhakika kila siku anapata pesa ya kuhudumia maisha yake na familia.

hizo biashara ulizotaja zinawafaa wastaafu au watu ambao tayari wameshazipata...

Biashara hizo zipo ktk kundi la (biashara ongeza kipato)

Wakati unasubiri sungura azae,nguruwe azae,kuku wakue (hapo kati kati unakua unafanya nini?)

Biashara ni nzuri sana hizo ila yapasa uwe una plan na backup ya pesa ili hiyo miradi iweze kukua na kukupa matokeo chanya.
Unajua sana mkuu
 
Ukiona biashara hafanyi mo,bakharesa, au wahindi,au waarabu au wachaga, au wakinga.......achana nazo hazina faida.....wapi umeona wachaga wanafuga sungura au kuku,wapi umeona wahindi wanauza mkojo WA sungura.....mwenye akili amenielewaaaa
Haya ndio mawazo ya vijana wa kisasa, Natamani nikuchukue nikabadilishane na gunia la ufuta huko singida.
 
Lkn pia kitu kingine ambacho kinaweza kukutoa kwa haraka ni kilimo cha mboga mboga na matunda , kama ,tikiti,nyanya maji, vitunguu, mchicha, chainiz , spinach, pili pili hoho, nyanya chungu, kunde , kumbuka hapo unaweza kuvuna kuanzia wiki 2 mpka cku 90,
Hapo umenena
 
Ukiona biashara hafanyi mo,bakharesa, au wahindi,au waarabu au wachaga, au wakinga.......achana nazo hazina faida.....wapi umeona wachaga wanafuga sungura au kuku,wapi umeona wahindi wanauza mkojo WA sungura.....mwenye akili amenie

Ukiona biashara hafanyi mo,bakharesa, au wahindi,au waarabu au wachaga, au wakinga.......achana nazo hazina faida.....wapi umeona wachaga wanafuga sungura au kuku,wapi umeona wahindi wanauza mkojo WA sungura.....mwenye akili amenielewaaaa
Kwahiyo wewe unajilinganisha na watu ambao tayari washafanikiwa
 
Watu wanataka pesa za kila siku hata kama ni ndogo ila awe na uhakika kila siku anapata pesa ya kuhudumia maisha yake na familia.

hizo biashara ulizotaja zinawafaa wastaafu au watu ambao tayari wameshazipata...

Biashara hizo zipo ktk kundi la (biashara ongeza kipato)

Wakati unasubiri sungura azae,nguruwe azae,kuku wakue (hapo kati kati unakua unafanya nini?)

Biashara ni nzuri sana hizo ila yapasa uwe una plan na backup ya pesa ili hiyo miradi iweze kukua na kukupa matokeo chanya.
Sasa kama unataka pesa za kila siku inabidi uajirwe
 
Watu wanataka pesa za kila siku hata kama ni ndogo ila awe na uhakika kila siku anapata pesa ya kuhudumia maisha yake na familia.

hizo biashara ulizotaja zinawafaa wastaafu au watu ambao tayari wameshazipata...

Biashara hizo zipo ktk kundi la (biashara ongeza kipato)

Wakati unasubiri sungura azae,nguruwe azae,kuku wakue (hapo kati kati unakua unafanya nini?)

Biashara ni nzuri sana hizo ila yapasa uwe una plan
Jamaa ametoa ushauro mzuri. Cha muhimu hapa ni mhusika kujiongeza baada ya kupata mtaji kupitia ufugaji, auweke kwenye more liquid assets.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom