Search results

  1. K

    Yanayoendelea kwenye ujenzi wa Shule na Zahanati wa pesa za mkopo wa IMF

    Habarini wapenda maendeleo. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa ufupi tu mimi ni mdau katika maendeleo ya nchi yetu na nimekuwa ziarani katika mikoa mbali mbali ya tanzania nakuona muamko wa wadau mbali mbali katika ujenzi wa vituo vya afya na ujenzi wa madarasa...
  2. K

    Ujenzi wa madarasa nchi nzima; Kuna hatari naiona mbele juu ya fedha za IMF

    Habarini wadau. Nimejaribu kupitia juu ya miradi inayoendelea wilaya Mbinga na Songwe. Kama Tanzania nzima ndio inatekelezwa kwa utaratibu wa namna hiyo lazima basi uzalendo wetu upo kwenye matumbo yetu. Na ni hatari sana kuwa na watu wa aina hii katika taifa letu. Miongoni mwa mambo...
  3. K

    Tamisemi kuweni makini na yanayoendelea kwenye mgawanyo fedha za ujenzi za kujengea Hospitali na Shule

    Habari wanajukwaaa. Mimi ni mdau wa elimu na pia wa maendeleo ya wananchi kwa nimekuwa mfatiliaji mzuri wa maswala ya ujenzi hasa kipindi hiki ambacho tamisemi kupitia Rais wetu Samia Suluhu wamezamilia wanafunzi wote watakaoanza kidato cha kwanza mwakani waripoti wote.Lakini nimegundua...
  4. K

    Walimu wapya wapelekwe kwenye vituo vyao vipya vya kazi

    Habari wa na jamvi, Umekuwa na shida kubwa katika Halmashauri zetu kuhusisna na waalimu wanaoripoti kutokupelekwa vitu vyao vipya wanaambiwa waende wenyewe. Ikumbukwe walimu hawa ni wageni katika mazingira haya. Kuna mmoja kakoswa kosa kutafunwa na mamba alipokuwa akivuka ili kukifuata kituo...
  5. K

    Ajira 5000 za Hayati Magufuli zimepotea, ajira 6,000 za Rais Samia hazieleweki. Sasa hivi tunazungumzia ajira 12,000 bajeti ijayo

    Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo ikapita. Kipenzi chetu Mungu akamchukua kazi ya Mungu haina makosa (RIP Rais Magufuli) Tukaja mama...
  6. K

    Vijana tumesahaulika

    Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya. Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa...
  7. K

    Tamisemi lipeni mishahara ya walimu jamani!

    Kumekuwa kuna mambo mengi yanafichwa fichwa lakini madhara yake ni makubwa na miongoni mwa mambo ambayo mhe: Rais wetu aliyoyaongea alisema wizara hazi-communicate. Unajua kila kitu kikimsubiri rais ndo aje afanye maamuzi kuna hakuna haja ya kuweka mawaziri kwani kazi yao kubwa imekuwa ni...
  8. K

    Jafo aagiza walimu wapya walipwe Fedha za kujikimu ndani ya siku 7

    Posho za Kujikimu kwa Ajira Mpya za Walimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. Selemani Jafo amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawalipa walimu wote wa ajira mpya walioripoti kwenye Halmashauri zao posho za kujikimu ndani ya muda wa wiki moja kuanzia leo...
  9. K

    Sisi Vijana wa CCM tumebaki wakiwa

    Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo. Lakini sasa hali imekuwa ngumu hakuna wa kumjibu wapinzani wamejifanya kukaaa kimya kama Nchi siyo Ya kwao. Hata ile buku...
  10. K

    TAMISEMI acheni mambo haya

    Ajira mpya za walimu mlizoajiri mwishoni mwa Mwaka jana mtu amepata ajira na ameripoti , mnamuandikia barua tena ya kusitishwa ajira sababu ikiwa hajasoma General studies huku mkijua kuwa Vyuo vyote vya Kitanzania General studies inasomwa kama Development studies chuoni na kwenye Transcript...
  11. K

    Hivi hizi ajira 5000 za waalimu ni zinazozungumziwa ni zipi!?

    Habari wana jamvi. Kwa bahati nzuri mimi ni mdau mkubwa elimu nimefurahishwa sana ujenzi na ukarabati wa mashule unavyoendelea kwani nina hakika vijana wengu watapata elimu katika mazingira bora. Jana kwa bahati nilimshuhudia Mhe Rais akizindua ujenzi wa ihungo secondary na veta. Kwa...
  12. K

    Serikali Iongeze nguvu kwenye masomo ya Hisabati na fizikia

    Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli. Lakini pamoja na kufanya vizuri nadhani changamoto imebaki katika masomo makuu mawili. Fizikia na hisabati kwa ujumla...
  13. K

    Serikali itoe pesa za kujikimu kwa Walimu wapya

    Serikali itoe pesa za kujikimu kwa walimu kwani mlolongo umekuwa mrefu sana haijulikani ni lini pesa hiyo itatolewa. Nakumbuka siku katibu mkuu tamisemi anatangaza halmashauri zitakazowapokea walimu ziwe zimejiandaaa katika mapokezi ya wafanyakazi hao wapya. Lakini cha ajabu karibia...
  14. K

    Hivi walimu wapya wamelipwa stahiki zao?

    Waalimu walioripoti tangu mwezi wa 12 tarehe 1. Hawajapatiwa stahiki zao. Mpaka sasa je kuna halmashauri wamepatiwa hela zao za kujikimu pamoja na mshahara wa mwezi huu? Na kama hawajalipa mshahara wa mwezi huu waalimu watau ingiza katka madai yao? Tuchangie kiistaarabu najua wengi wana hasira...
  15. K

    Hivi wale Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliosema wamenyanyaswa wako wapi?

    Msimu wa 2015-20 kulikuwa na wimbi kubwa la wabunge kuunga juhudi tukianzia kwa Mollel (Siha) Lijuakal (Kilombero), Ryoba (Serengeti), Masinji (KM), Issack karanga (Monduli), Silinde (momba), Waitara(Ukonga) Na wengineo wengi ambao sikuwataja hawa wote waliwasaliti wananchi wao kwa kuendekeza...
  16. K

    Watu 91000 ilichukuwa wiki 2 kuchaguliwa watu 117000 inachukua miezi 2

    Ni miezi miwili tangu tangazo la ajira ya ualimu litolewe wakapewa muda wa kutuma maombi na maombi hayo yakafungwa 30 mwezi Septemba lakini cha ajabu ni miezi miwili sasa imepita hakuna majibu. Kuna uzi mmoja ulianzishwa humu ukiwashutumu tamisemi kupokea rushwa ili kutoa ajira na miongoni...
  17. K

    Hivi zile ajira 13000 za waalimu kulikoni?

    Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo...
Back
Top Bottom