Hivi wale Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA waliosema wamenyanyaswa wako wapi?

Komando tamimy

Senior Member
Nov 18, 2020
108
121
Msimu wa 2015-20 kulikuwa na wimbi kubwa la wabunge kuunga juhudi tukianzia kwa Mollel (Siha) Lijuakal (Kilombero), Ryoba (Serengeti), Masinji (KM), Issack karanga (Monduli), Silinde (momba), Waitara(Ukonga) Na wengineo wengi ambao sikuwataja hawa wote waliwasaliti wananchi wao kwa kuendekeza njaaa za matumbo yao.

Likazuka jingine karibia na uchaguzi wimbi ka Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA ambao walidai kunyanyaswa kingono. Hoja yangu ni wale wakina mama kesi yao ya kudhalilishwa iliishia wapi?
 
MAGUFULI alishawahi kuhonga nyumba za umma kwa mahawala zake akiwa majibu waziri wa nyumba/ ujenzi ulishawahi kusikia wakilalamika?

Ile hotel ya kebs pale bamaga ni ya hawala wake.

Zilikuwa ni siasa tu za maji taka
 
Wanatibiwa kisaikolojia maana kupigwa mashine na "kamanda" kama hawa wa CHADEMA aisee ukirudi kwa mumeo hutaskia ladha, lazma watengenezwe kisaikolojia na kupewa dawa za kurejesha umbile la awali.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom