Hivi zile ajira 13000 za waalimu kulikoni?

Komando tamimy

Senior Member
Nov 18, 2020
108
121
Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta

Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo lifutwe na na waalimu waliochaguliwa majibu yawe pending mpaka hapo watakapo tangaza upya.

Kwa maaana hiyo ajira za ualimu hazitakuwepo mpaka 2023 ukizingatia sasa hivi matoke ya wanafunzi ni mazuri hata wakikosa waalimu.
 
Nadhan watakuja kuzitoa kama walivyo ahidi japo kutakuwa na kusubiria sana. Au zitatolewa ili kusafisha hali ya hewa ya jambo fulani la kisiasa ambalo linaweza kuhitaji kufichwa na jambo lingine.
Sijui kama umenielewa
 
Usilete siasa kwenye maisha ya watu
 
Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta. Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo lifutwe na na waalimu waliochaguliwa majibu yawe pending mpaka hapo watakapo tangaza upya. Kwa maaana hiyo ajira za ualimu hazitakuwepo mpaka 2023 ukizingatia sasa hivi matoke ya wanafunzi ni mazuri hata wakikosa waalimu.

Kamilisha uchunguzi wako utuletee taarifa kamili
 
Hiyo ilikuwa gia ya kutafutia kura. Kama ilivyo kupandishwa mishahara. Utapeli tapeli hivi hadi fedha za covid 19!
 
Siku bunge la ulaya likitema nyongo basi ajira zitatoka kuweka mambo sawa.
 
Vuta subiri,mambo mazuri hsyataki haraka,,,
Haraka haraka haina baraka.
 
Mkuu serikali ya sasa inasiri sana, zaidi ya tetesi hakuna anaejua kinachoendelea TAMISEMI, ila ni lazima watoe.
Japo sijui kwann walifuta lile Tangazo, wakati matangazo mengine yapo.
 
Uchaguzi umeisha salama ingawa hakuna chochote kinachofanyika kwenye ardhi kikawa na hakina dosari.tulikuwa tunaulizia hivi zile ajira 130000 zimeenda wapi?! Kwani mpaka sasa hakuna chochote na tamisemi tangazo wamefuta. Na kuna taarifa kwamba kuna maagizo kutoka juu yaliagiza tangazo lifutwe na na waalimu waliochaguliwa majibu yawe pending mpaka hapo watakapo tangaza upya. Kwa maaana hiyo ajira za ualimu hazitakuwepo mpaka 2023 ukizingatia sasa hivi matoke ya wanafunzi ni mazuri hata wakikosa waalimu.
Ilikuwa ni zuga ya uchaguzi hakuna cha ajira wala jirani
 
Back
Top Bottom