Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Habari za usiku wana jamvi tukiwa na furaha na ufaulu wa vijana wetu kidato cha nne kwa hakika wanastahili sifa wamefanya vizuri kama matokeo yatakuwa ni ya kweli.
Lakini pamoja na kufanya vizuri nadhani changamoto imebaki katika masomo makuu mawili.
Fizikia na hisabati kwa ujumla matokeo yake si mazuriql kivile.
Wanafunzi wengi wamefanya vibaya tena sana ushauri wangu serikali iwekeze nguvu kubwa katika masomo haya.
Kwa kuajili Walimu wengi wa physics na hisabati na ikiwwzekana katika ajira 5000 zilizobaki serikali ingeajiri angalau waaalimu 4500 wa hesabu na physics na angalau hizo 500 zilizobaki angalau wangeshukuliwa waalimu wa masomo mengine ni ushauri tuu iki kuleta uwiano katika ufaulu