Search results

  1. Koffi Annan

    JamiiForums website inapendeza sana na fire bubbles za leo.

    Happy New year family, Japo nimechelewa kuingia kwenye website yangu pendwa ya JamiiForums leo nilivokutana nazo zilinivutia sana na zimenifanya niingie kila muda, Kudos kwa team nzima na technicians kwa ujumla, kazi yenu ni nzuri na inapendeza, Ningeomba kama mlipanga zikae siku moja basi iwe...
  2. Koffi Annan

    Mwanaume, natafuta mpenzi

    Mimi ni mwanaume, umri miaka 24 natafuta mpenzi awe mzuri mweusi au mweupe, umri wowote. Akiwa Dar itapendeza.
  3. Koffi Annan

    Mwenye account ya bolt

    Habarini wandugu, Naomba mwenye account ya bolt na haitumii aje pm tuongee. Nina ndugu yangu amepata gari ila mwenyewe amegoma kuibadili plate number hivo haiwezekani kuwa na account. Hivyo naomba ushirikiano kwa mwenye nayo iwe anakodisha au amewiwa kuitoa bure kwa muda kwa kijana. Asante.
  4. Koffi Annan

    Zuchu sio wa kawaida. Huu wimbo wake alioutoa juzi unaimbwa kila mahali

    Huu wimbo wake alioutoa juzi unaimbwa kila mahali, hata kama huupendi utajikuta tu unausikiliza kila unapoenda, Ukiamka unaskia jirani anaupiga Ukitoka nje unakutana nao kwenye maduka ya barabarani Ukipita barabarani bodaboda wanao Ukipanda daladala unapigwa Ukipishana na watoto wadogo...
  5. Koffi Annan

    Polisi: Kigwangalla hajampiga risasi mlinzi Jumanne

    Polisi Mkoani Mwanza wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni kumhusu Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini na Mmiliki wa Kiwanda cha kuchakata Pamba kitwacho Mwalujo Ginery kilichopo Kijiji cha Mwalujo, Wilaya ya Kwimba, Hamisi Kingwangala kudaiwa kumpiga risasi Mlinzi wake Jumanne...
  6. Koffi Annan

    Wafanyabiashara wa mboga ilala waingia hasara baada ya mboga zao kushikiliwa na mamlaka ya vipimo.

    Wafanyabiashara wa mbogamboga Soko la Ilala wamelia kupata hasara baada ya gari iliyokuwa imebeba mizigo yao kutoka Gairo mkoani Morogoro kukamatwa nje ya soko hilo. Mwenyekiti wa Wafanyabiashara hao, Thomas Hezron amesema gari hiyo ilikamatwa na mawakala wa vipimo kwa mazao ya shamba mkoa wa...
  7. Koffi Annan

    Unaweza ku survive muda gani ikitokea huna kazi uliyonayo sasa hivi?

    Ikitokea huna kazi sasa hivi au njia yako ya kipato kama biashara imekwama ghafla unaweza kuishi muda gani bila kumtegemea mtu yoyote. Kubadili lifestyle au kuhamisha watoto shule unaweza kumudu? Binafsi bado sijajipata na siwezi kumaliza wiki moja.
  8. Koffi Annan

    Natafuta mtu atakayenipunguzia mzigo wa filamu kwa bei ya jumla

    Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana nikakupa ela kidogo ya wi fi.
  9. Koffi Annan

    Naomba ushauri wa kitaalamu: Alimeza P2 ila kashika mimba

    Nilitembea na girlfriend wangu siku ya 14 akameza dawa baada ya masaa 24 means jioni ya siku iliyofuata baada ya kulala nae na baada ya kumeza dawa that night nililala nae tena nikijua ile dawa bado inafanya kazi ila ameshika mimba. Sasa kwa upande wangu iyo mimba sio tatizo ila nawaza huenda...
  10. Koffi Annan

    Mwanamke Mghana alivyojifungua mtoto kwenye ndege kuelekea USA

    Safari ya ndege iliyotarajiwa kuwa yenye utulivu kutoka Accra Ghana kuelekea Marekani iligeuka kuwa uzoefu ambao mwanamke mmoja mjamzito kutoka Ghana hatausahau maishani mwake, pamoja na wasafiri waliokuwemo ndani ya ndege ya Marekani United Airlines chapa UA 977. Mwanamke mjamzito alipata...
  11. Koffi Annan

    Natafuta kioo cha laptop DELL latitude 3330

    Kama kuna mwenye nacho tafadhali pesa yako ipo
  12. Koffi Annan

    Picha: Population

    Kale ka population wanakozungumziaga.
  13. Koffi Annan

    HIV oral test

    Most people assume that blood is involved in HIV testing. But with OraQuick an oral swab is used for testing and requires no blood. By collecting oral fluid from your gums, you collect fluid similar to that used in blood testing. So the OraQuick Test detects antibodies for HIV, not the virus...
  14. Koffi Annan

    Baba mwenye nyumba mpya hana mbwembwe, aliyepita kila siku vioja

    Hamjambo huko Daslam. Huyu Kunenge ametulia sana hana makeke kama mtu mbadi Bashite, ilikua ukiamka utasikia watu wapimwe tezi dume, hujakaa sawa watu wafute porn kwenye simu, hujakaa sawa utasikia wanawake wote njooni ofisi ya mkuu wa mkoa. Ukiamka utaskia press conference utamkuta anaongelea...
  15. Koffi Annan

    Barua ya mapenzi

    Jana nimeamua kumuandikia mrembo ninayemzimkia kitambo barua iliyokuwa na maudhui ya kumtongoza. Hopefully ata enjoy maana siku hizi hamna vitu kama hivyo nadhani. Barua yangu ilikua ya muundo wa kirafiki aliyotufundisha Mwalimu Ndeanga darasa la sita kipindi hichoooo. Au mnaonaje wananchi...
  16. Koffi Annan

    Surprise kwa wagombea wa Uraisi.

    Ningependekeza tuwa-suprise Magu na Lissu tumpe kura zote Hashim Rungwe kutoka CHAUMA. Pia nahisi tutazi-suprise media pamoja na mabeberu[emoji28][emoji28]. Au mnaonaje wananchi.
  17. Koffi Annan

    Mila za mababu zetu zinavyofanya kazi sometimes siyo vitu vya kupuuzwa hivi

    Kwenye jamii ya leo kumekua na mila mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na wazee wetu ila ujio wa dini umefanya tuzisahau. Je, mambo kama haya yapo au umeshawahi kushuhudia? Nitaweka hapa visa vichache ambavyo nimeshawahi kusimuliwa na kushuhudia jinsi mila zinavyofanya kazi hata sasa katika...
  18. Koffi Annan

    Video: Wajumbe wakielekea mashinani

    Haw hapa[emoji116][emoji116] pamoja na wajumbe wa Kigamboni.
  19. Koffi Annan

    Tumwone Membe akichapia mbele ya press

    [emoji38][emoji38]
  20. Koffi Annan

    Unataka nini mpenzi?

    Ukiulizwa na mpenzi wako sasa hivi unataka nini utamwambia unataka nini? Mimi nimemwambia aje kulala huku wiki moja.
Back
Top Bottom