Naomba ushauri wa kitaalamu: Alimeza P2 ila kashika mimba

Koffi Annan

JF-Expert Member
Dec 23, 2018
1,235
3,194
Nilitembea na girlfriend wangu siku ya 14 akameza dawa baada ya masaa 24 means jioni ya siku iliyofuata baada ya kulala nae na baada ya kumeza dawa that night nililala nae tena nikijua ile dawa bado inafanya kazi ila ameshika mimba.

Sasa kwa upande wangu iyo mimba sio tatizo ila nawaza huenda mimba au mtoto atakua na complications zozote baada kuzaliwa kutokana na dawa ya kuzuia mimba aliyomeza, naombeni majibu ya kitaalamu.
 
Back
Top Bottom