bolt

The BOLT Browser was a web browser for mobile phones including feature phones and smartphones that can run Java ME applications. The BOLT Browser was offered free of charge to consumers and by license to Mobile network operators and handset manufacturers. BOLT was produced by Bitstream Inc., the company which previously produced the ThunderHawk for Mobile network operators and handset manufacturers.
BOLT was originally introduced into private beta on January 15, 2009 and was made available to the public on February 16, 2009 when the public beta was announced at Mobile World Congress in Barcelona. BOLT supported Java-based handsets with Java MIDP 2 and CLDC 1.0 or higher. BOLT also has specially optimized version for BlackBerry smartphones and worked with Windows Mobile and Palm OS devices that employ a MIDlet manager or Java emulator. BOLT was built using the WebKit rendering engine to display a full Web page layout as found on desktop web browsers.
In December 2011, BOLT Browser was discontinued and all installs were rendered useless.

View More On Wikipedia.org
  1. African Geek

    Ni mbinu gani zinatumika kutega abiria wa taxi mtandaoni (Bolt, Uber, Faras)?

    Wakuu, habari za muda huu. Ningeomba kujuzwa na wataalamu wa hizi kazi za taxi mtandaoni, namna gani ya kupata abiria wengi. Mimi ni mgeni kwenye hizi kazi na ningependa kupata walau abiria 10 kwa siku. Je, nifanye kazi muda gani, siku gani na maeneo gani ili niweze kunasa abiria kwa urahisi...
  2. Nehemia Elias

    Dereva uber na bolt

    Habari Mimi ni dereva uber na bolt nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4, nahitaji gari iwe mkataba au hesabu kwa ajili ya kufanyia kazi, kwa atakaye hitaji dereva nipo free mda wowote tuwasiliane kwa namba 0743827333
  3. African Geek

    Je, Leseni hii inaruhusu kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber au Faras?

    Habari za muda huu waungwana. Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya? Natanguliza shukrani.
  4. African Geek

    Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

    Habari za muda huu waungwana. Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk. Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara...
  5. S

    Mkasa wangu mwingine wa Bolt

    Nilipanda bolt, akaniomba sana akate request nusu ya safari. Nilimdanganya kuwa nahitaji risiti kwa ajiri ya ofisi kisha nika muuliza kwanini anataka tucancel request hio. Dereva huyo alilalamika sana kwa kusema kuwa serikali ilawaagiza Bolt kufanya makato asimilia 15% lakini wao wanakatwa...
  6. P

    Bolt kwanini hamna namba ya huduma kwa wateja? Mtu una dharura kupata msaada mpaka usubiri majibu Instagram, kweli?

    Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada. Huduma ya Bolt ukititokea unataka kuwasiliana nao labda umepoteza kitu au una malalamiko kwenye huduma yao, hakuna chaguo la kuwapata moja kwa moja kwa njia ya simu kwanini? Wanakimbia nini? Yaani wameweka njia ya kuwasiliana nao kwa njia ya email...
  7. S

    Mkasa wangu na dereva wa bolt

    Umepata Changamoto gani wakati umetumia usafiri wa Bolt, Farasi au Uber? Juzi kati hivi niljikuta katika migogoro moja na dereva wa bolt, Nilipanda bajaji kutoka palm village nikiwa naelekea Temeke. Tufika njia panda ya Morocco na alinuliza tunapita njia gani, nikasema napendelea ya magomeni...
  8. The Sheriff

    Unachukua tahadhari gani za kiusalama unapotumia Taksi Mtandao (Uber, Bolt n.k)?

    Tukio la kusikitisha la kifo cha Catherine Serou, mwanamke Mamrekani, linatufundisha umuhimu wa kuchukua tahadhari zinapohusiana na usalama wako unapotumia huduma hizi. Kifo cha Catherine Serou kilitokea baada ya kupanda gari la mtu asiyejulikana, akiwa na imani kuwa ni dereva wa Uber. Usalama...
  9. BARD AI

    Bolt Kenya yazuiwa kuhuisha Leseni baada ya Madereva kugoma

    Mamlaka ya Taifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) imechukua hatua hiyo dhdi ya kamouni ya 'Bolt' kutokana na madai ya Ukiukwaji wa Kanuni za Leseni, ikiwa ni pamoja na Malipo Yasiyostahili kwa Madereva pamoja na Ada za Uitishaji wa Huduma. Pia, NTSA imesema Bolt ameshutumiwa kukiuka Kanuni za...
  10. Koffi Annan

    Mwenye account ya bolt

    Habarini wandugu, Naomba mwenye account ya bolt na haitumii aje pm tuongee. Nina ndugu yangu amepata gari ila mwenyewe amegoma kuibadili plate number hivo haiwezekani kuwa na account. Hivyo naomba ushirikiano kwa mwenye nayo iwe anakodisha au amewiwa kuitoa bure kwa muda kwa kijana. Asante.
  11. Kingcol

    Dereva Private (Tax Mtandao)

    Habari! Naitwa Ashraf, nina miaka 25, Elimu yangu ni Kidato cha 4, nimesoma VIP pale NIT. natafuta gari ya kufanyia kazi (Tax Mtandao). Nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Nina uzoefu kama Dereva pamoja na uaminifu wa hali juu. Nina Leseni hai, nimesoma VIP na nina kitambulisho cha taifa (NIDA)...
  12. C

    Dereva wa Bolt natafuta kazi

    Habari, naitwa Daniel ni dereva mwenye uzoefu na leseni iliyohai. Natafuta gari kwaajili ya biashara ya tax mtandao kama bolt, uber, inDrive nk. Gari iwe ya hesabu za kila wiki au mkataba naweza fanyia kazi. Tunaweza wasiliana muda wowote kwa namba 0782427688. Ahsante
  13. Mr Why

    Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

    Wakuu hii haki kweli? Nimemuajiri kijana wa miaka 24 kama dereva wa gari yangu inayotoa huduma ya usafiri chini ya kampuni ya Bolt imepita miezi nane tangu nimkabizi. Nilimpa maelekezo kuwa afunge kazi saa tano kamili usiku na baada ya hapo alete gari nyumbani. Alifuata maelekezo yangu lakini...
  14. X_INTELLIGENCE

    Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

    Ndugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki. PIKIPIKI ni ajira acheni maneno ya Lema aliesema kuwa bodaboda sijui ni LAANA. Mimi niwaondoe hofu kuwa bodaboda ni ajira kana ajira nyinginezo. Kwa...
  15. Maleven

    Anayejua michezo ya Bolt kuongeza bei aniambie

    Wakati na request bolt bei ilokuja ni 15, 000 tunafika destination risiti inasoma 21,000 tumebishana sana ila kwakuwa nilikuwa na mgojwa wa nikaitoa hiyo hela, haijawahi kutokea hii mara zote nilizorequest bolt, Je kuna vijana wanafanya uhuni? Naomba shule katika hili
  16. K

    Gharama ya LATRA kupata kadi ya taksi za mtandaoni

    Habari wanazengo, Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata kadi ya Latra kwa ajili ya kufungua akaunt za Uber na bolt gharama yake ni sh ngapi kufanikiwa
  17. Dr am 4 real PhD

    The Fastest Man Alive: The True Story of Usain Bolt

    Usain bolt sio jina geni masikioni mwa wapenda michezo wengi hapa ulimwengu, Alizaliwa mwaka 1986 Jamaica ni mwanariadha Bora wa muda wote kwenye mbio fupi 100m na 200m (G.O.A.T) Binafsi niliwai kushinda Riadha kwenye UMITASHUMTA vijana wa hivi karibuni hawawezi kujua nini maana ya...
  18. N

    Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  19. Shujaa Mwendazake

    BOLT amkeni , madereva wenu wameanza kuwa matapeli na wameanza kuwachafua

    Dereva siku hizi anazima data akifika mbele anajifanya haoni kitu kwa System so anataka mkadiriane bei. Mwingine zile discount za mteja mpya wanakataa wakidai Bolt ofisi zimefungwa hapa nchini. Kuna wakati kama mtumiaji hajielewi au haijui sehemu , dereva anachukua simu ya mteja kama...
Back
Top Bottom