Koffi Annan JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 2,275 Reaction score 6,780 Sep 1, 2023 #1 Mimi ni mwanaume, umri miaka 24 natafuta mpenzi awe mzuri mweusi au mweupe, umri wowote. Akiwa Dar itapendeza.
Mimi ni mwanaume, umri miaka 24 natafuta mpenzi awe mzuri mweusi au mweupe, umri wowote. Akiwa Dar itapendeza.
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,708 Reaction score 14,799 Sep 2, 2023 #2 Una uwezo wa kulisha watu wangapi...? Kwa siku...? Usije ikawa hata tumbo lako linakushinda na unataka kujiongezea matatizo
Una uwezo wa kulisha watu wangapi...? Kwa siku...? Usije ikawa hata tumbo lako linakushinda na unataka kujiongezea matatizo
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 16,325 Reaction score 52,314 Sep 2, 2023 #3 😁😁😁😁😁😁
Wakuperuzi JF-Expert Member Joined Mar 31, 2023 Posts 2,844 Reaction score 6,692 Sep 2, 2023 #4 Sikia Katibu mkuu wa UN mstaafu mi nna uhakika kwa startus yako ukienda hapo mjini Somalia au Sudani kusini huezi kpsa pisi ya kuoa #niushauritu
Sikia Katibu mkuu wa UN mstaafu mi nna uhakika kwa startus yako ukienda hapo mjini Somalia au Sudani kusini huezi kpsa pisi ya kuoa #niushauritu