Zuchu sio wa kawaida. Huu wimbo wake alioutoa juzi unaimbwa kila mahali

Koffi Annan

JF-Expert Member
Dec 23, 2018
1,235
3,194
Huu wimbo wake alioutoa juzi unaimbwa kila mahali, hata kama huupendi utajikuta tu unausikiliza kila unapoenda,

  • Ukiamka unaskia jirani anaupiga
  • Ukitoka nje unakutana nao kwenye maduka ya barabarani
  • Ukipita barabarani bodaboda wanao
  • Ukipanda daladala unapigwa
  • Ukipishana na watoto wadogo wanaimba
  • Ukiingia Instagram ni kelele tu za huo wimbo

Ila Diamond anamtengeneza huyu mtoto kuwa best versions kuliko alivyokua mwenyewe hivyo ana bahati sana.
 
Back
Top Bottom