Naombeni kwa anaefahamu anitoe tongo tongo hapo.
Maana kuna jamaa yeye hawezi kula kitu hai anapenda kula vitu vilivyokufa na vilivyooza, mfano nyama za mizoga mizoga ndio anapenda kula, mahindi yaliyooza, mchele uliooza ndio anapendelea, matunda yaliyooza, nk hapendi kula vitu visivyooza au...
Kuna hawa jamaa ukiwaongeleaga wadogo zao wa kike au dada zao Huwa wanakasirikaga ?
Mfano mimi Kuna mwanangu mmoja ukimtaja tu dada ake jamaa ananuna ......,yani ukimuambia tu dada ako ni pisi haongei na wewe siku nzima au ukimuambia mdogo wako nimemuelewa anamind
Hii inasababishwa na...
Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
Ni lini machozi ya mwanaume yaliwahi kuthaminiwa?
Ni mwanaume gani anahisi au anawaza kuwa tegemezi?
Hivi unajua ,unathaminiwa na kuhurumiwa ukiwa mtoto tu,lakini baada ya hapo lazima ustruggle?
Hivi mnajua mwanaume hupaswi kudeka,kuringa wala kutaka kuonewa huruma?
Iko...
Je, una wazo la biashara au tayari una biashara inayofanya kazi lakini huna nyaraka rasmi za kuwasilisha benki kwa ajili ya mkopo au kwa wawekezaji?
Tumezindua Templates za Kitaalamu zitakazokuokoa muda na kukupa muonekano wa kisasa mbele ya wakopeshaji au watoa fedha.
1. Business Plan...
🔥Pata website Hosting ndani ya dakika 1 Tu (Netfasta.Com)🔥
Tunatoa huduma za web hosting na usajiri wa domains kwa gharama nafuu sana na sasa tuna ofa
Kwa Tsh 45,000 tu unajipatia hosting kwa mwaka mzima itakayokuwezesha ku-host hadi website 10
Express Plan ( Tsh 45,000 ) - 1 Year ( kuhamisha...
Kwa mujibu wa tafiti za afya ya umma duniani, wanaume wana wastani wa maisha mafupi kuliko wanawake, jambo lililothibitishwa na World Health Organization. Tofauti hii si ya bahati mbaya, bali ni matokeo ya mwingiliano wa mifumo ya mwili (biological systems), tabia za binadamu (behavioral...
Haya mashirika inatakiwa yaendeshwe na mtu mwenye taaluma hata ya Utawala upande wa IT na sio mwana siasa. Sasa TTCL kwanini nyie kila Jpili mnazima Internet mpaka Jtatu mchana ?
Hii huduma raia na walipa kodi wanalipia hamkupaswa kuzima au kupangia mtu atumieje maana ni pesa zake mwenyewe...
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?
Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa.
Simu: 0753786858
Email...
Habari wakuu,
Natoa huduma za kitaalamu za kutengeneza website kwa biashara, taasisi na miradi mbalimbali. Ikiwa unahitaji website ya haraka, inayovutia na inayofanya kazi vizuri, hii huduma ni kwa ajili yako.
✅ Website yako itakuwa tayari ndani ya siku 3 tu
✅ Inafaa kwa biashara ndogo...
Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?
Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu?
🏠✨ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu
✔ Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles
✔ Kudhibiti na kuondoa wadudu
✔...
Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?
Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu?
🏠✨ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu
✔ Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles
✔ Kudhibiti na kuondoa wadudu
✔...
Je, unahitaji Huduma ya Usafi wa Kitaalamu?
Je, unajua kuwa wadudu waliyojificha nyumbani na madoa sugu kwenye tiles zako zinasafishika kabisa kwa njia za kitaalamu?
🏠✨ Tunatoa Professional Cleaning ya kiwango cha juu
✔ Kuondoa uchafu sugu na madoa ya tiles
✔ Kudhibiti na kuondoa wadudu
✔...
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?
Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa.
Simu: 0753786858
Email...
Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi.
Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
Mko poa?
Iko hivi . Huwa najisikia amani sana nikikabeba katoto kachanga. Au nisikie kile kisauti cha kulia cha mtoto mchanga. Huwa najisikia raha na amani fulani hivi moyoni. Hii wadau mmewahi ku experience au ndio dalili za kuitwa baba?..
Na Dem hata sina .
Kwa ufupi sana.
Simba wamemkosa Feisal pendekezo la kocha Fadlu, lakini pia uwezekano wa kumpata Allan Okello ni mgumu.
Fadlu ameonesha bado anahitaji mchezji wa kuamua mechi kubwa na kutengeneza nafasi ndani ya 18.
Clatous Chota Chama bado anao uwezo wa kufanya mambo makubwa pale simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.