HIV oral test

Koffi Annan

JF-Expert Member
Dec 23, 2018
1,233
3,189
Most people assume that blood is involved in HIV testing. But with OraQuick an oral swab is used for testing and requires no blood. By collecting oral fluid from your gums, you collect fluid similar to that used in blood testing.

So the OraQuick Test detects antibodies for HIV, not the virus itself.

You just gently swipe the test swab along your upper gums once and your lower gums once. Then you insert the swab inside the test tube provided and get your results in just 20 minutes.
Screenshot_20200913-103630.jpg
 
Sheria ilipitishwa na kusainiwa na upimaji umeshaanza,eg kwa huku niliko vifaa vinapatikana hospital ya wilaya tu(nafikiri maeneo yote itakua hivyohivyo)
Naomba kuuliza, hv mpango wa serekali kuruhusu watu kujipima wenyewe HIV ulisharuhusiwa. Sheria ilishapitishwa?
 
Sheria ilipitishwa na kusainiwa na upimaji umeshaanza,eg kwa huku niliko vifaa vinapatikana hospital ya wilaya tu(nafikiri maeneo yote itakua hivyohivyo)
Kwahiyo nikivitaka vifaa nimpaka niende hospital ya wilaya. Je hakuna mlolongo na maswali mengi. Kwann visiuzwe maduka ya dawa ili iwe rahisi kupatikana?
 
Back
Top Bottom