Je Hii ndio DW Word imeanza kazi? au bado bandari wanasuasua?
Kuna wakati ilitoka habari humu kuwa meli zinakaa muda mrefu bila kushusha mizigo mpaka ikafikia hatua meli zinahama bandari lakini Mamlaka ya Bandari wakakanusha pengine ni ukweli ambao ulifichwa.
Hii dhambi ya kukanusha taarifa...
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi.
Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa yanachelewa au yanaenda Taratibu.
NARUDIA!
"Huduma yeyote ile inayoiwezesha jamii husika kupata huduma nyingine, ikicheleweshwa kwa jamii, Maendeleo kwenye nchi huwa...
Nchi ya Tanzania inapendwa na Mungu zaidi kuliko hata sisi Watanzania wenyewe. Tumebarikiwa kuwa na bendera yenye yenye rangi nne na kila rangi ina maana yake.
1. Kijani
2. Blue
3. Dhahabu/njano
4. Nyeusi
Tuiombee bendera yetu iendelee kupepea juu, ipande saa 12 asubuhi na ishuke saa 12 jioni...
Poleni sana wakazi wa Dar na wahanga wa ajali, nimeona kwenye mitandao hii habari nikatamani kujua vingi, na ningekuwa Dar ningefika hata eneo la tukio for physical observation.
Nimeona Mtu kutoka jeshi la Zimamoto na Uokoaji akisema kuwa Sababu kuu za kudondoka kwa lift ya jengo la Millenium...
Katika pitapita zangu nimekutana na video inayoonyesha jinsi sisi wajasiliamali tunavyoweza kujisajili mtandaoni na kuomba mikopo ya Halmashauri. Bila shaka hatutasikia tena nakala kupotea au vikundi hewa. Nimefurahishwa na usajili kutumia namba ya NIDA na siyo majina hewa kama tulivyokuwa...
Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus.
Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi...
Katika zoezi ambalo linaendelea la Anwani za makazi, hata linalokuja la sensa, tunaiomba Serikali itumie watu wasio na ajira badala ya kuwatumia watumishi ambao tayari wana kipato.
Serikali inapaswa itumie watu wasio na ajira katika zoezi la anwani za makazi pia sensa ili kusaidia vijana wasio...
Baada ya jana kurudi nimechoka sana nyumbani, nikaanza kuwaza kwanini nafika nmechoka nyumbani ilihali sikuwa na kitu cha maana nilichokifanya wala kubeba mzigo wowote. Nikasema nuvue kila kitu ili mwili upate hewa vizuri, ndipo nikagundua kuna mizigo binadamu tunaibeba kila siku na inatuchosha...
Waziri mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda ni Mgombea ambaye mambo yake yameenda Kimyakimya sana mpaka Dakika za Mwisho.
Hakuna aliyejua kuwa Pinda atagombea Urais mpaka Siku ile ya tarehe 21 Octoba 2014 alipotangaza Kimyakimya na hapo ndipo wapinzani wake kupitia Vijana wao walipoanza kumwagia...
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na umati wa watu waliokisanyika katika banda la NHIF juu ya umuhimu wa watu kupima afya zao mara kwa mara na kuzingatia kanuni bora za maisha ili kuepuka maginjwa yasiyoambikiza ambayo mengi husababishwa na unene uliokithiri.
Mh. Waziri Mkuu Mizengo...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesisitiza umuhimu wa kuilinda na kuiendeleza amani iliyopo nchini.
Pinda amesema amani si jambo la kufanyiwa mzaha bali linahitaji kuchukuliwa kwa umakini mkubwa ili kuinusuru Zanzibar isirejee ilikotoka.
Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti wakati akitafuta...
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhavi fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini DOdoma Juni 30, 2015
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizunguza na waandishi wa habari baada ya kurejesha fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa...
WAZIRI Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, amesema Taifa linahitaji maombi ya wananchi na wana CCM ili aweze kupatikana kiongozi mzuri kati ya wagombea urais 42 waliojitokeza kuwania nafasi hiyo ndani ya chama hicho.
Bw. Pinda aliyasema hayo jana baada ya kukamilisha mchakato wa kupata wadhamini katika...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema iwapo chama kitampitisha na kupewa ridhaa na wananchi kuwa rais, atahakikisha anaimarisha misingi ya Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano.
Alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akisaka wadhamini huko Dimani, Mwera, Mjini na Wilaya ya Kaskazini B mjini Zanzibar...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewashukuru wanachama waliojitokeza kumdhamini, huku akieleza kuwa anaondoka mkoani Iringa na msemo mpya; Yeye anatosha na chenji inabaki.
Pinda alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na wanachama wa CCM waliofika kwenye ofisi za chama hicho kumdhamini...
Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda ni mmoja wa wanasiasa walioonyesha dhamira ya kuongoza taifa hili wapo tu chama chake cha CCM kitamteua kuwa mgombea wake katika uchaguzi ujao wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Pinda maarufu kwa jina la mtoto wa...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuwa wapo wagombea wengi wa nafasi ya urais, lakini kwa Rais Jayaka Kikwete ameshatamka kuwa hana mgombea yeyote kati yao, wasitumie jina lake kujinadi.
Hayo aliyasema juzi kwenye ukumbi wa mikutano wa CCM wa mjini Songea wakati alipokuwa akizungumza na...
Habari zilizotufikia ni kuwa Nyota ya Waziri mkuu Mizengo Pinda aliyetangaza nia hivi karibuni imezidi kung'aa huku mashabiki wake wakiwa na uhakika wa mgombea wao baada ya kutangaza nia tofauti na walivyokuwa wakipotoshwa kuwa mgombea huyu hagombei tena.
Baadhi ya Waliotangaza nia ya...
Tayari Waziri mkuu ameingia na anazungumza na waandishi wa Habari ndani ya White House
Ameshakabidhiwa fomu yake ya kugombea Urais
Mazungumzo Rasmi kabla ya Maswali ya Waandishi wa Habari
Amesema hawezi kueleza vitu vingi kama walivyoeleza wenzake kwani atakuwa anaingilia ilani ya Chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.