Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,449
- 576
Baada ya jana kurudi nimechoka sana nyumbani, nikaanza kuwaza kwanini nafika nmechoka nyumbani ilihali sikuwa na kitu cha maana nilichokifanya wala kubeba mzigo wowote. Nikasema nuvue kila kitu ili mwili upate hewa vizuri, ndipo nikagundua kuna mizigo binadamu tunaibeba kila siku na inatuchosha. Kwani nilijikuta nabeba vyote nilivyovivua na kwenda kuviweka juu ya mzani. Nikagundua natembea na kilo 2.2 ambazo sio za kwangu ambazo ni:
- Shati
- Suruali
- Soksi
- Viatu
- Mkanda
- Wallet
- Vest
- Boxer
- Kitambaa cha mafua