kutembea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H r n

    JamiiForums Tanzania Najuta kutembea na wallet! Sitorudia kuweka pesa kwa wallet kamwe!

    Habari wakuu. Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi nikatia kwa walet mfuko wa suruali ya jeans tena wa nyuma nikasema nipite kwa wana pale ,kijiwe nongwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naulizia wapi naweza kupata mashine ya mazoezi ya kukimbia au kutembea

    Wadau wa michezo habari zenu. Nauliza kwa hapa Dar ni wapi naweza kupata mashine ya kumfanyia mazoezi ya kukimbia au kutembea kama zile zinazopatikana gym. Naomba kuelekezwa mahali na duka lilipo.nahitaji kua nafanyia mazoezi nyumbani badala ya kwenda gym. Msaada tafadhari. Mtu akiniambia bei na...
  3. Street brain

    JamiiForums Tanzania Arusha Walking Fitness route Tuanze Mazoezi ya Kutembea Kila Weekend Ili Kuweka Mwili Sawa!.. waliopo Arusha tu

    Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday). Lengo letu kuu ni kuweka mwili sawa, kuongeza stamina, kupunguza uzito, kuimarisha afya ya moyo na kuondoa stress ya maisha ya kila siku, kwa wale wote waliopo...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na John Heche hayati JPM alikuwa serious kudhibiti uzembe na ufisadi. Na ninaongezea asingethubutu kutembea na mtoto kama tunavyoshuhudia

    Naona wanaChadema wameanza kukubaliana na mimi juu namna hayati Magufuli alivyokuwa shujaa na mpambanaji kuzuia uzembe na ufisadi. Kwanza asingeweza kwenda Urusi na na mtoto wake au delegation kubwa namna ile na kuharibu pesa za Watanganyika.
  5. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kutembea au kuoa ndugu wawili

    Wakuu adui namba moja wa taifa hili ni ccm wanachopigania ni chama chao kutawala ili kuendelea kuiba na kulinda walichoiba ndiyo maana watapishana vipindi vingine tu ila kipindi cha uchaguzi huitana na kuambizana ukweli kwamba chama kikianguka kila ajue kiama kinakuja, wanatafakari na kurudi...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tunduma wabuni kutembea na pini ili wasiibiwe maumbile. Je, itasaidia?

    Tunduma sasa kila mtu anatemvea na pini kama kinga. Inadaiwa pini ni Dawa ya kujikinga na hali inayoendelea hapo Tunduma kuhusu kuibiwa maumbile nyeti ya wanaume. Polisi washakanusha habari na kusema ni uzushi. Ila mtaani mambo ni tofauti. Nyeti zinapotea fasta sana. Yaani kufumba na kufumbua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Watendao uovu na wanaokandamiza watu, hawapendi kutembea katika ukweli

    Askofu Shoo ameyasema kauli hiyo leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Centre Hou, ukihusisha Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 nchini.
  8. Chibike

    JamiiForums Tanzania Ndege za UFO/UAP's zimethibitishwa zinaweza kutembea kwa spidi ya ajabu, km 64,000 kwa lisaa, DAR Hadi MWANZA kinatumia dakika 1 na sekunde Moja.

    Nimekua nafuatilia sakata hili la UFO ama Aliens majina ambayo yamezoeleka na wengi kua ni viumbe ambavyo inasemekana vipo vinaishi na sisi SEHEMU ambayo pengine binadamu wa kawaida hatuwezi kufika pengine bila msaada wao. Sakata hili naona limechukua sura mpya Sasa huko marekani Kuna watu...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

    Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya

    Kwa vitendo vya polisi kwa wananchi itafika wakati mtu kuwa polisi ataogopa itakuwa ni sawa na kutembea na madawa ya kulevya. Huku ndipo tunapoelekea.
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi Gari za STL zinaruhusiwa kutembea zikiwa na Plate Number nusu?

    Samahani naomba kuuliza hivi hizi gari za STL zinaruhusiwa kutembea na Plate Number nusu kama hivi au isiyosomeka vizuri maana kuna nyingine pia nimeiona inayo mbele tu nyuma hakuna. Au yawezekana Polisi hawaruhusiwI kuwasimamisha wao!!!?… 🤯🤯
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hii nchi tulipofikia:Mahakama ya wilaya watumishi wote wamekwenda ngorongoro kutembea mahakama imefungwa

    Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake. Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

    Tembea KWA miguu umbali wa kukutosha. Kama Kuna vilima na miinuko itakuwa Bora zaidi. Kama huna muda, paki gari yako mbali au shuka KITUo kimoja au viwili kabla ya eneo lengwa Tembea KWA miguu kikakamavu. Utanishukuru. Mwili utabaki Bora na IMARA na mvuto hautapotea kama mkimbiaji na zile apps...
  14. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Kutembea Peku (Barefoot Walking) – Njia ya Kupata Nishati Asilia

    Habari wakuu, Kimsingi, kuna nguvu ya asili inayoumba uwepo wa uhai duniani. Kati ya nguvu nyingi, nishati ya umeme ni moja ya muhimu inayoumba maisha. Jua limekuwa chanzo kikuu cha nishati hii 🌞. Tunapopokea miale yake moja kwa moja, mwili unachochea uzalishaji wa vitamini D, mimea hupata nguvu...
  15. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani mazuri ya kutembea ukiwa Tanga mjini?

    Naombeni muongozo jamani, kesho natarajia kuwa maeneo hayo..
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea itafikia hatua ya Watanzania watembea kwa miguu barabara ya lami kulipa kodi ili tulipe deni la taifa

    Naam wana JF hali inavoelekea sasa ni mbaya kuliko mda wowote. Serekali ya ccm kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kua wanaofanya biashara online, wanaoishi Airbnb, na wanaochapisha matangazo katika mitandao ya kijamii kama Instagram wanawapa siku 30 ili kuweza kujisajili na...
  17. bab-D

    JamiiForums Tanzania Application gani inaweza kupima eneo kwa kutembea?

    Heshima kwenu, natamani kupima shamba langu kwa kutumia app, maana nimeshindwa kuligawa ili nipime kwa futi kamba, anae ijua anijuze
  18. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Kukimbia v/s kutembea Kwa weight lose

    Habari za muda wana jf. Kwa wale wapenzi wa workouts, jogging, lifting weights, HIIT cardio na abs hapa ni jukwaa letu sahihi la kujadili ana na kubadilishana mawazo. Kwenye platform mbalimbali za mitandao ya kijamii kumekuwa na mabishano makubwa sana miongoni mwa trainers! Na mabishano hayo...
  19. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Uponyaji kupitia kukumbatia mti au kutembea msituni

    Miti ni waponyaji. Unapokaa chini ya mti au kuukumbatia, unahisi nishati yake ya uponyaji. Ina nguvu ya asili inayotuliza akili na mwili. Katika nchi kama Japani, kuna tiba inayoitwa Forest Therapy (Shinrin-yoku) — yaani tiba ya kuwa msituni — ambayo hutumika kusaidia watu waliokumbwa na...
  20. jangoma

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali ingeangalia namna ya kuwakopesha walimu baskeli za kwendea kazini wanateseka mna kwa kutembea umbali mrefu

    Wengine mpaka miguu imeota vinumbu sabb ya kutembea umbali mrefu kwenda kazini. Tuwahurumieni walimu jamani
Back
Top Bottom