Zuhura Yunus na Matangazo mabovu kutoka Ikulu Mawasiliano

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus.

Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi hiki cha Zuhura Yunus kuliko alivyokuwepo Msigwa.

Matangazo yamekuwa yakikatakata sana na kuscratch kupita kiasi na wakati mwingine sauti hakuna au inakuwa sauti yenye kelele kupita kiasi.

Kuna muda matangazo yanaka kama vile wameishiwa vifurushi.

Hata sasa uliangalia kwenye Channel ya ikulu mawasiliano utakutana na vitu vilivyokosewa kurusha lakini vipo. (Natumaini vitatolewa baada ya post yangu hii)

Rejea hapa kwenye channeli ya Ikulu Tanzania utaona baadhi ya clip nimewekea X ambazo hazikustahili kuwepo ama zina changamoto ya muonekano zinapoanza. Kuna ambazo matangazo yalikwama kutokana na mtandao yakaishia chini ya dk 1, hayana maana na ulazima wa kuendelea kuwepo. Hata zile ambazo hazina alama ya X ikiwemo inayoruka sasa hivi live ina tatizo la sauti

ik1.JPG

Ushauri:
Tafuta timu nzuri ya kufanya nayo kazi, ikibidi uuuwe na wataalamu ambao ni technical zaidi ili kutoiaibisha hii channel ya ikulu.

Naamini Serikali ina resources za kutosha na kuna baadhi ya taasisi na wizara zinafanya vizuri sana kwenye matangazo ya live na mitandao ya kijamii pia.

Peleka timu yako ikajifunze ama tafuta watu hukohuko wakusaidie.

Pia muulize msigwa yeye aliwezaje kurusha matangazo vizuri?

Mwisho kabisa, fuatilia kujua nini kinasababisha, yamkini unahujumiwa.
 
Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus.
Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi hiki cha Zuhura Yunus kuliko alivyokuwepo Msigwa. Matangazo yamekuwa yakikatakata sana na kuscratch kupita kiasi na wakati mwingine sauti hakuna au inakuwa sauti yenye kelele kupita kiasi. Kuna muda matangazo yanaka kama vile wameishiwa vifurushi.

Hata sasa uliangalia kwenye Channel ya ikulu mawasiliano utakutana na vitu vilivyokosewa kurusha lakini vipo. (Natumaini vitatolewa baada ya post yangu hii)
Rejea hapa kwenye channeli ya Ikulu Tanzania utaona baadhi ya clip nimewekea X ambazo hazikustahili kuwepo ama zina changamoto ya muonekano zinapoanza. kuna ambazo matangazo yalikwama kutokana na mtandao yakaishia chini ya dk 1, hayana maana na ulazima wa kuendelea kuwepo. Hata zile ambazo hazina alama ya X ikiwemo inayoruka sasaiv live ina tatizo la sauti

View attachment 2232710

Ushauri:
Tafuta timu nzuri ya kufanya nayo kazi, ikibidi uuuwe na wataalamu ambao ni technical zaidi ili kutoiaibisha hii channel ya ikulu. Naamini Serikali ina resources za kutosha na kuna baadhi ya taasisi na wizara zinafanya vizuri sana kwenye matangazo ya live na mitandao ya kijamii pia. Peleka timu yako ikajifunze ama tafuta watu hukohuko wakusaidie.
Pia muulize msigwa yeye aliwezaje kurusha matangazo vizuri?
Mwisho kabisa, fuatilia kujua nini kinasababisha, yamkini unahujumiwa.
Mnamfanyia figisu nyinyi hapo halafu mnajifanya kushangaa WEWE utueleze kwa nn mnamhujumu
 
Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi hiki cha Zuhura Yunus kuliko alivyokuwepo Msigwa. Matangazo yamekuwa yakikatakata sana na kuscratch kupita kiasi na wakati mwingine sauti hakuna au inakuwa sauti yenye kelele kupita kiasi. Kuna muda matangazo yanaka kama vile wameishiwa vifurushi.
Kwahiyo mafundi nao wamebadilika?, yer, Zuhura kaleta mafundi kutoka Mchambawima ama kibanda maiti. Wa awali watakuwa wamerudi kulima viazi na makatapera
 
Mmeanza kumuonea wivu mama wa watu yani mnataka aonekane hajui kazi ili aondolewe angalieni asije akatolewa ikulu akapewa Uwaziri maana mtaumwa hatari aiseee...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom