Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa

Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi

Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!

Magu, Mbele Kwa mbele
Ndugu, hivi yupi ni Bora Kati ya anayekwenda ikulu akiwa na plan na yule aliyesukumizwa? Ni yupi Kati yao aliyekwenda kuijaribu nafasi ya urais.?
Hebu jitafakari Tena!
 
Kwani Magu alikuwa rais tangu kuzaliwa? Si alianzia mahala? Fikiria nje ya sanduku mkuu.
Kwanza, alishakiri kusukumizwa kwenye ngazi hii ya urais kwa maana hakuwahi kuwaza kuwa rais! Huko ccm wamejazana wasiofikiri hata kidogo! Mtu alishakiri mwenyewe kuwa hiyo kazi mliyomsukumizia ni ngumu kwake lakini bado mnamlazimisha kujifanya badala ya kumpumzisha! Ccm, mpumzisheni huyu atakiua chama!
 
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa

Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi

Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!

Magu, Mbele Kwa mbele
Hii ni moja ya hoja za kipumbavu sana, na huwa inatolewa na malofa wasiojitambua. Kwanza kwa vigezo vya katiba yetu vyote Lissu anavyo, na ndiyo maana tume ilimpitisha bila hata pingamizi moja. Pili huyu bwana hakuna asiyejua uwezo wake, misimamo yake na elimu yake. Sema tu ukweli kwamba mnamuogopa sana na inawaumiza vichwa kwamba akiwa rais, kama alivyonukuliwa mzee Warioba, mjiandae kuishi kwa kufuata sheria.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Eeeh njoeni na hoja hii ili kusaidia kupata kura za wazee. Uzuri wa hili suala tu kwamba litasaidia kupata kura za wazee, bali pia ni njia mojawapo sahihi ya kuwasaidia. Wazee lets say kuanzia umri wa miaka 65 na kuendelea wawe wanapata dawa bure (aidha kupitia hospitali za serikali au kama private hospital waangalie watakuja na utaratibu gani kugawanya dawa bure kwa wazee) na pia watalipa nusu ya pesa za matibabu.

Najua baadhi yenu mtauliza suala hili litahitaji pesa kwa hiyo pesa hizo zitatoka wapi? Simple, kata matumizi yasiyo ya lazima. Hapa nazungumzia mashangingi (yale mavx), kata posho za wabunge na marupurupu yasiyo na tija ikiwemo na kiinua mgongo wanachopata wabunge baada ya miaka 5.

Wazee wetu wamelitumikia hili taifa kwa ukamilifu, ni wakati wetu sasa kuwatumikia.

Mnaweza kuboresha hii idea zaidi.
 
Ni jukumu lako wewe unayepinga kuja na ushahidi usio na shaka, sawa jombaa??

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Naona Chadema mmeanza ,kutunga uongo.Siku mbili zilizopita ,mlisema ,JPM ,kazomewa Bukoba.Tuliwaomba video.Hatukupata kitu.Naona Hui uzushi umeisha sasa ,mmeleta uongo kuwa Lissu ana wafuasi wa kushinda uchaguzi.Kwann msisubiri sanduku la kura litoe majibu?Naona sindano inaingia vizuri.Tulieni uchaguzi bado siku 38.Mnapata taabu ya nn?Najua kesho mtaanzisha uzushi mwingine.Kama ameshinda ni kwenye mitandao.
 
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa

Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi

Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!

Magu, Mbele Kwa mbele

Tulijaribu Sasa tunajuta
 
Sio kucheka tu,yaani Hadi unawahurumia wanao ota hiyo ndoto

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Not the first time, nor will this be the last time that incumbent ccm candidate Magufuli in Tanzania clearly states that he will not allow development funds to be provided to constituencies where they elect opposition members of Parliament.

#ChangeTanzania
 
Naona Chadema mmeanza ,kutunga uongo.Siku mbili zilizopita ,mlisema ,JPM ,kazomewa Bukoba.Tuliwaomba video.Hatukupata kitu.Naona Hui uzushi umeisha sasa ,mmeleta uongo kuwa Lissu ana wafuasi wa kushinda uchaguzi.Kwann msisubiri sanduku la kura litoe majibu?Naona sindano inaingia vizuri.Tulieni uchaguzi bado siku 38.Mnapata taabu ya nn?Najua kesho mtaanzisha uzushi mwingine.Kama ameshinda ni kwenye mitandao.
Hunijui, sikujui sasa unapata wapi nguvu ya kusema mimi ni Chadema? Mwaka 2015 watanzania waliopiga kura was around 14 milion so wengi tuu hawakupiga kura na possibly hawana vyama. However hilo haliwafanyi waache kutoa madukuduku yao kama mambo hayako sawa. Kakaga baho...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Shida kwa mtaji huu Lissu ajiandae kisaikolojia
FB_IMG_1600460562381.jpg
FB_IMG_1600460572134.jpg
FB_IMG_1600607834471.jpg
 
Hunijui, sikujui sasa unapata wapi nguvu ya kusema mimi ni Chadema? Mwaka 2015 watanzania waliopiga kura was around 14 milion so wengi tuu hawakupiga kura na possibly hawana vyama. However hilo haliwafanyi waache kutoa madukuduku yao kama mambo hayako sawa. Kakaga baho...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Mm naongea facts .Sina shida ya kukujua. Tusubiri sanduku la kura.Na nimechukua jina lako.Nitakutafuta
 
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa

Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi

Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!

Magu, Mbele Kwa mbele
Yeye ameomba kwa mujibu WA sheria. Wananchi watamchagua ikiwa mtaiba hiyo nikazi nyengine.
 
TRA ni genge lililohalaishwa kisheria. Genge la kufilisi na kugeuza watanzania maskini.
Limefilisi wengi sana,unakadiriwa kodi kwa kuangaliwa usoni,kama una bifu na afusa utakaemkuta lazma akulime tu.
 
Back
Top Bottom