Ndugai
Ndugai anashangaa Sharia za kijinga ambazo ni kichaa tu angeweza kuzipitisha. Anajiuliza alikua wapi wakati wanapitisha sheria chafu kama hizo? Nadhani mambo mawili, moja huenda anaumwa au legacy ya mwendazake inaisha nguvu.

Hili ni Bunge la CCM...je ni sharia ngapi za kijinga zimepitishwa na kuumiza Watanzania?

View attachment 1799755
Ndugai utakumbuka vipi wakati hujarudi Mirembe kucheki afya ya akili inaendeleaje?
 
Ndugai anashangaa Sharia za kijinga ambazo ni kichaa tu angeweza kuzipitisha. Anajiuliza alikua wapi wakati wanapitisha sheria chafu kama hizo? Nadhani mambo mawili, moja huenda anaumwa au legacy ya mwendazake inaisha nguvu.

Hili ni Bunge la CCM...je ni sharia ngapi za kijinga zimepitishwa na kuumiza Watanzania?

View attachment 1799755
Ni laana ya dhuluma kwa Lissu! Hujamsikia akitetea dhana ya "less government kwenye sekta ya kilimo utafikiri hakuwepo Tanzania kipindi chote cha ukandamizaji wa magufuli!
 
Ndugai anashangaa Sharia za kijinga ambazo ni kichaa tu angeweza kuzipitisha. Anajiuliza alikua wapi wakati wanapitisha sheria chafu kama hizo? Nadhani mambo mawili, moja huenda anaumwa au legacy ya mwendazake inaisha nguvu.

Hili ni Bunge la CCM...je ni sharia ngapi za kijinga zimepitishwa na kuumiza Watanzania?

View attachment 1799755
ulevi wa madaraka hadi anasahau
 
1622143839485.jpeg

Back
Top Bottom