wasiotaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Rais Samia kuwa kama Hayati Magufuli, achana na maridhiano na wasiotaka, watakupotezea muda

    Nadhani tunahitaji kujadili siasa za nchi yetu kwa uhalisia zaidi kuliko kwa kujipa moyo au kwa wishful thinking Uhalisia upo hivi, Rais Samia Suluhu ndio Rais ambaye amejaribu kuwa fair zaidi kwa Chadema kuliko Rais yeyote, na sidhani kama atatokea Rais mwingine akawa fair kwao kama Samia...
  2. Sildenafil Citrate

    TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari. Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
  3. B

    Wasiotaka kustaafu kwetu, ya Malkia UK wanayatamani hapa

    Ama kwa hakika Kenya wamepiga hatua kubwa sana. Kwetu wastaafu hawataki kustaafu na wanalazimisha watoto kuja kutawala. Nini tofauti yetu na Kenya? Kupi kufanana kwetu na Uganda, Burundi au Rwanda? Pole yetu Tanzania.
  4. Frumence M Kyauke

    Uzi maalumu kwa wasiotaka kuoa wala kuolewa

    Hii ni sehemu maalumu kwa wale wote wasiokuwa na mpango wa kuoa na kuolewa. Tupia Likes, Comments kuhusiana na uamuzi huu mgumu.
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Sifa za watu uliowazidi wasiotaka uendelee kufanikiwa

    SIFA ZA WATU ULIOWAZIDI WASIOTAKA UFANIKIWE! Anaandika Robert Heriel. Leo sitaandika mambo mengi. Andiko hili litakusaidia kuwaelewa watu na kukufanya usiwe na Stress za kijinga. Zifuatazo ni miongoni mwa sifa za watu uliowazidi. 1. Wanapenda kujilinganisha na wewe. Ukiona unatabia ya...
  6. B

    Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

    Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa: Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani? Hekima ipi mpewe na nani nyie? Au ndiyo la kuvunda?
  7. B

    Wasiotaka Siasa za Kistaarabu wanataka nini?

    Hivi karibuni Mama Samia alifanya mazungumzo na Mh. Lissu na Mh. Mbowe kila mmoja kwa wakati tofauti. Mazungumzo hayo kwa hakika yamekuwa yenye kuleta tija kubwa kwa taifa letu. Leo hii waliokuwa wanalalamikiwa wanakemewa: Tulipo sasa tunategemea kila mmoja atafuata sheria zilizopo kwa...
  8. T

    #COVID19 70% ya wasiotaka chanjo USA wako tayari kuacha ama kufukuzwa kazi kuliko kuchanja

    Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa. Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
  9. Nduka Original

    Aina ya watu wasiotaka chanjo ya Uviko-19

    Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo. 1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji 2. Walokole kindakindaki 3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote 4. Wengi wao wana elimu za chini mno
  10. kipoma

    Wasiotaka kulipa kodi watupishe kabisa katika nchi hii

    Hujambo? Watu ambao hawataki kulipa kodi watupishe kabisa katika nchi hii, tumechoka kusikia malalamiko yao! Nchi haiwezi endelea bila wewe kutoa kodi, hutakia hama nchi! Oho! Mara makato miamala mikubwa !! Unataka nani akujengee nchi? Acha ujinga na elimika!
Back
Top Bottom