kufukuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kuna waandishi wamekaribia kufukuzwa Wasafi Media kwa kuhoji ukweli

    Kuna jambo moja wameliweka sawa kwa weledi mkubwa sana. Wamehitimisha kwamba TBC sio Chombo cha Umma bali ni chombo cha serikali
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Suala la Nchimbi kufukuzwa CCM: Vijana msijimalize, kuna kesho!

    Vijana wenzangu, Nchimbi siyo mwanasiasa mdogo, msijimalize kwa kuwa mnasaka ugali kwa sasa. Mnataka kuwafurahisha walio juu sasa hivi, kesho hawatokuwepo. Kumbukeni nyinyi bado ni machalii wadogo, kuna kesho wakuu. Zibeni ndimi zenu, usiku mwema.
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuwa Licha ya Kujiuzulu na Kufukuzwa CCM, Mpaka Sasa Dr.Nchimbi Bado ni VP Mpaka Tar. 4 Sept?. Kufutwa Uanachama CCM, Hakuathiri Mafao Yake!

    Wanabodi, Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Nchimbi mbona Kikwete kanywea kunani?

    Kichwa kiko wazi. Nashangaa. Kunani? Ni mpango wa kutupiga changa la macho au? Nani ni nani katika hili? Je, kiraka kajitambua au kujitutumua? Tutegemee kumagufuliana kama ilivyotokea? Je, damu ya wahanga itawaacha wawe na amani na uhai kweli? Nahisi kuna kitu bado hatujakijua wakati huu...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Dkt. Nchimbi ni tukio kubwa sana kihistoria kwa siasa za Tanzania

    Ukubwa wa tukio hilo una sababu Kuu 3. 1. Cheo chake kilikuwa kikubwa sana Huyu si mbunge wa kawaida, Alikuwa: Katibu Mkuu wa CCM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Balozi Kumfukuza mtu aliyekaa kwenye viti hivyo 3 vikuu kwa muda mfupi, haijawahi kutokea mara nyingi. 2. Muda wake ni...
  6. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kufukuzwa Uanachama, Upi ni Uhalali wa Yale Yaliomo Kwenye Notisi ya Kujiuzulu?

    Kwamba nitastahafu siasa kuanzia tarehe 4 Septemba, 2026 Nawaza tu, kama notisi ilikubaliwa, je huyu mwamba ni bado Makamu wa Raisi mpaka 4 September 2026 au kwa kufutwa kwake uanachama amefukuza wakati akiwa kwenye notice period. Wabobezi, wanazi na vilaza ni wengi, ila wote maoni yetu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wadau kitendo Cha Nchimbi kufukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, je machawa wa humu jf na kwingineko watafukuzwaje?

    Ikiwa Nchimbi amefukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, hebu piga picha machawa wa humu jf na kwingineko namna watakavyofukuzwa.
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi amvaa John Heche asema haogopi kufukuzwa

    Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama. ========== Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wapangaji Nyamanoro waomba serikali iingilie kati baada ya kufukuzwa katika nyumba walizopanga

    Wapangaji waliokuwa wakiishi katika nyumba namba 59, kwenye viwanja namba 169, 171 na 173, Kitalu “F”, mtaa wa Mnyampala, Kata ya Nyamanoro, Wilaya ya Ilemela, wameiomba serikali iingilie kati na kuwasaidia kupata haki zao baada ya kufukuzwa na kutolewa nje ya nyumba walizokuwa wakiishi...
  10. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kufukuzwa kazi

    Kama kuna watu wameshawahi kupitia kipindi cha kufukuzwa kazi , hivi maisha mliyasongesha kwa Namna gani baada ya kufukuzwa? Life kitaa siyo poa mliwezaje kutoboa kwenye msimu huo hadi mlipopata kazi nyingine au kuendelea na mishemishe kitaa?
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda, wakimbizi wa Burundi wadaiwa ‘Kufukuzwa’ Tanzania

    Wasiwasi umeibuka kuhusu kurejeshwa kwa lazima kwa wakimbizi wa Burundi kutoka Tanzania, huku wengi wao wakisema hawataki kurudi nyumbani kutokana na hofu ya usalama na mateso ya kisiasa. Manyanyaso hayo yanaripotiwa wakati Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za wakimbizi zikizuia wakimbizi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wachina kufukuzwa kariakoo

    Binafsi nafikiri kuna changamoto watu hawajaziangalia vizuri kabla ya kufikiri kuwa wachina ni tatizo nalo ni ukosefu wa Elimu, Elimu, Elimu ya Biashara 1. Wafanyabiashara wa Tanzania walio wengi hawana Elimu ya biashara 2. wafanya biashara walio wengi ni wabinafsi 3. baadhi ya wafanya biashara...
  13. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa Kazi kwa sababu ya "Chapisho la Kisiasa"

    Na: Jumanne Mwita Leo tarehe 12/11/2025 nimesimamishwa kazi. Sio kwa sababu nilichelewa kazini, wala kwa kosa la kitaaluma — bali kwa sababu nilichapisha au nili "screenshot" chapisho la mtu mwingine lenye mtazamo wa kisiasa. Chapisho hilo halikuwa la matusi, halikuhusiana na kazi yangu...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kilichotokea kufukuzwa kwa Gamond Yanga

    Wana Yanga wengi walifurahia sana mwenendo wa timu kipindi cha Master Gamondi na chini yake ndiyo timu nyingi zilichezea kipigo cha 5 including timu yako. Tatizo lilianza kwenye tamasha la Cheka 2 ambapo Engineer aliongozana na Aziz Ki kwenda kwenye tamasha, na haikuwa mara yakwanza Engineer...
  15. D

    JamiiForums Tanzania RC kumtembelea aliyedhalilishwa kwa kufukuzwa katika nyumba ni dhihaka mbele ya umma

    Nchi yetu inaongozwa kwa sheria na taratibu! Watu wanakuwa wamefuata taratibu zote na kunyimwa haki katika serikali ile ile inayotoa pole! Huwezi kwenda kutoa pole kwa matokeo yaliyochangiwa na uovu wa kiutendaji. Ile siyo ajali bali ni jambo la makusudi kabisa lisilo na utu ndani yake...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Amnesty yaunga mkono Maria Sarungi kufukuzwa Kenya

    Wakuu Nimekutana hii taarifa inasema kuwa Amnesty yaunga mkono Maria Sarungi kufukuzwa Kenya kuna ukweli wa hizi taarifa au ni uzushi?
  17. H

    JamiiForums Tanzania Wachina Kuichangia CCM ni Ukiukaji wa Wazi wa Mwongozo wa Makampuni ya Kigeni Yanayowekeza Nchini. CCM ni Chanzo Cha Huu Uchafu Wote.

    Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla. Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini. Lakini...
  18. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole kufukuzwa CCM; nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe

    Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanafunzi Kigamboni City College nakaribia kufukuzwa, Boom la nne hadi leo halijatoka, Afisa Mikopo hajulikani alipo

    Naitwa Lutamila Malindi Ibrahim, mwanafunzi wa Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Nimesajiliwa kwa namba ya usajili: S3363.0137.2021. Ninaandika kwa uchungu na hofu kubwa. Mpaka leo hii, tarehe 6 Julai 2025, sijapata boom la nne kutoka HESLB. Hali hii imenitesa sana...
Back
Top Bottom