The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa.
Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine yameenda mbali zaidi kutangaza kama hujachanja unapoteza kazi, no jab no job.
Utafiti umefanyika Marekani unasema 70% ya wasiotaka chanjo wako tayari kuacha kazi kuliko kuchwanjwa kwa lazima. Wengi wanasema hawatachanja kwa sababu zao binafsi na wengine kwa sababu za kidini lakini iwapo watalazimishwa basi bora kuacha kazi kuliko kuchanjwa.