Je, wanaogawa Pedi za Kike lengo lao huwa ni lipi?
Je, huwarudia waliowapa na kuwapa tena?
Je, ni kweli wazazi wanashindwa nunua pedi za 1500-3000 mara moja kwa mwezi?
Je, serikali ina mpango gani katika kuhusishwa kwenye huo ugawaji?
Je, wahusika sio kwamba wanataka watumia wasichana kupata...