Wanawake wa CHADEMA walio Mahabusu wanyanyaswa, wanyimwa taulo za kike za kujistiri

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake.

Hili la kunyimwa mpaka Pedi limekaaje?

Kwa nini Hawafikishwi mahakamani?, Kwani hawana makosa ya Msingi ya kupelekwa Mahakamani?

Nashangaa hili hitaji la Katiba mpya, wakati hata hii ya sasa inavunjwa sana, na hakuna kinachoonekana kuamuliwa. Katiba inaheshimiwa pale tu maslahi ya mshika mpini yanapohitajika.

E8VWkp3XsAcPiiG.jpg

E8VWpU8XIAA7WQm.jpg
 
View attachment 1886219

View attachment 1886216
Siasa za CCM ni za kipumbavu Sana, zimejaa udhalimu na unyama.
 
Nilisema hapa kuwa the so called "Mama" ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.CCM haina tena uwezo wa kutoa kiongozi mwenye akili.Period.

Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama alivyofanya Bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko Bwana Chato kwa sababu hajiamini.Imagine Mama zetu wapendwa,dada zetu pamoja na mashangazi ndiyo wanaokula mateso kuliko wanaume🙄🙄🙄

Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
 
Dah... chadema imebaki na propaganda za kubomoa, badala ya kujenga chama. Propaganda za uongo na unafiki ni sehemu ya sera za chama hicho. Hata hivyo propaganda zenyewe hazijawahi na hazitawahi kukisaidia chama hicho kushinda uchaguzi mkuu na kushika dola. Acha waendelee kudanganyana wenyewe kwa wenyewe huku mitandaoni huku chama kikizidi kupoteza mwelekeo.
 
Tuna chama cha mashetani kikichounda serikali ya kishetani.

Mungu wetu tunakuomba Mungu aangamize utawala wa shetani kwa wakati ufaao na kwa namna ifaayo.
 
Hii dunia nzuri sana, ukiwa CCM kwa miaka 50 siku zote unakuwa na utaitwa mjinga. Siku ikitokea umehamia Chadema dakika hiyo hiyo unakuwa na akili sana hata kama ilikuwa jinga kipindukia.

Woooote tuhamie Chadema na siku hiyo hiyo tutakuwa werevu, hata kama tutabaki não akili ya kuvukia barabara tuu.
 
Nilisema hapa kuwa the so called "Mama" ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.CCM haina tena uwezo wa kutoa kiongozi mwenye akili.Period.

Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama alivyofanya Bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko Bwana Chato kwa sababu hajiamini.Imagine Mama zetu wapendwa,dada zetu pamoja na mashangazi ndiyo wanaokula mateso kuliko wanaume🙄🙄🙄

Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
Huyu takataka wa kike ni katili sana..
 
Tuna chama cha mashetani kikichounda serikali ya kishetani.

Mungu wetu tunakuomba Mungu aangamize utawala wa shetani kwa wakati ufaao na kwa namna ifaayo.
Rest in peace chacha wangwe kutaka kugombea uenyekiti wa chama kumeyagharimu maisha yake.. Ila malipo ya ubaya ni hapa hapa duniani, mbinguni ni mahesabu tu. Mungu kaamlipia marehemu kwa namna yake.
 
Nilisema hapa kuwa the so called "Mama" ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.CCM haina tena uwezo wa kutoa kiongozi mwenye akili.Period.

Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama alivyofanya Bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko Bwana Chato kwa sababu hajiamini.Imagine Mama zetu wapendwa,dada zetu pamoja na mashangazi ndiyo wanaokula mateso kuliko wanaume🙄🙄🙄

Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
eti Mama.

Hamna kitu hapo.
 
Huyu Samia sasa anajitafutia laana, na hawa polisi wasiojali haki za binadamu ni viumbe wa aina gani? wao hawana wake zao nyumbani? au kama ni wanawake wanajisikiaje kuwafanyia wenzao huo ushenzi?

Katiba Mpya ndio chanzo cha yote hayo, this is unfair.
 
Nilisema hapa kuwa the so called "Mama" ni takataka watu wakafikiri kuwa nina husda,the worst is yet to come.CCM haina tena uwezo wa kutoa kiongozi mwenye akili.Period.

Akimalizana na upinzani anageukia huko CCM, the same kama alivyofanya Bwana Chato.Tena huyu atakuwa lethal kuliko Bwana Chato kwa sababu hajiamini.Imagine Mama zetu wapendwa,dada zetu pamoja na mashangazi ndiyo wanaokula mateso kuliko wanaume

Waliokuwa wanaiita takataka kuwa ni "Mama" shame on you all!

Having a vagina is no proof that one cannot be a tyrant.
 
Hadi muda huu uongozi wote wa Baraza la Wanawake Chadema BAWACHA Taifa uko mahabusu. Rais Samia hawa ni wanawake wenzake na kwa asili yeye ametokea katika NGOs za harakati hadi kuingia katika siasa. Samia Ni Mwanamke pekee uliyefika katika Mkutano wa Beijing kutetea wanawake.

Hili la kunyimwa mpaka Pedi limekaaje?

Kwa nini Hawafikishwi mahakamani?, Kwani hawana makosa ya Msingi ya kupelekwa Mahakamani?

Nashangaa hili hitaji la Katiba mpya, wakati hata hii ya sasa inavunjwa sana, na hakuna kinachoonekana kuamuliwa. Katiba inaheshimiwa pale tu maslahi ya mshika mpini yanapohitajika.

View attachment 1886219

View attachment 1886216

"Monoposy" Mimi Nina Miaka 62.siwezi kuyakumbuka tena hayo matatizo yenu Tena" Kwaherini"
 
Back
Top Bottom