Maswali kuhusu Taulo za Kike zinazotolewa bure

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,367
94,550
Je, wanaogawa Pedi za Kike lengo lao huwa ni lipi?

Je, huwarudia waliowapa na kuwapa tena?

Je, ni kweli wazazi wanashindwa nunua pedi za 1500-3000 mara moja kwa mwezi?

Je, serikali ina mpango gani katika kuhusishwa kwenye huo ugawaji?

Je, wahusika sio kwamba wanataka watumia wasichana kupata pesa kutoka kwa wafadhiri?

Kwanini wawarekodi wanaopewa msaada?

Kwanini wanalia kuwa Kodi iondolewe wakati wao wanakuja ziuza kwa bei zile zile?

Je, tujiandaeje kama taifa ili tuweze ondoa hilo tatizo?
 
niko nae hapa hakijui na sijawahi kumuon akikitumia
Sijajua ILA wanawake wengi wanatumia haswa Dar vinakuwa design. Hiyo anavijua huyo anakuzingua tu
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    28.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom