mikutano ya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanasiasa maarufu, Dk Willbroad Slaa, wamefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri wa Mambo ya Naani ya Nchi, Patrobas Katambi na wenzake sita. TLS na wenzake wamefungua kesi hiyo Mahakama...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Viongozi hawatumii akili yani?! Unakataza mikutano ya siasa lakini unaruhusu paredi za Simba na Yanga

    Inasikitika kuwa raia wa nchi yenye viongozi wa namna hii. Kwa lugha nyepesi hapa wooooote watu milioni 70 tumeonwa hatuna akili. Ina maana hawa viongozi hata aibu hawana? Hata hafikirii akiwa bila suti atakuwa mtu wa namna gani?
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumezuia mikutano ya siasa kuepusha watu wenye nia mbaya kurusha mabomu na kuua watu wengi

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema hatua za kudhibiti mikusanyiko mikubwa zimechukuliwa baada ya taarifa za kiintelijensia kuonesha uwepo wa watu wenye nia mbaya ya kutumia mikutano hiyo kusababisha madhara makubwa, ikiwemo mashambulizi ya mabomu au ufyatuaji risasi. Kwa mujibu wake, baadhi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Paternus Niyegira: Waziri Katambi hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya Siasa, pia hana mamlaka ya kumuagiza IGP

    Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Paternus Niyegira, ameibua mjadala mzito kufuatia kauli ya hivi karibuni ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi, inayoonekana kulenga kuzuia shughuli za vyama vya siasa nchini Akizungumza kupitia kituo cha redio cha Crown FM, Niyegira...
  5. papag

    JamiiForums Tanzania Baada ya zuio la mikutano ya kisiasa, CCM wanaendelea na mikutano. Kulikoni?

    Kuna hii poster ya CCM ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii Kwa hiyo mikutano ya CCM ni ruksa ila kwa wapinzani nongwa? Kwao ni ruksa? Soma Pia: Ufafanuzi kuhusu taarifa ya mkutano wa hadhara wa Mwenezi Kihongosi, taarifa hiyo ilikuwa kabla ya zuio
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanashughulika na mikutano ya siasa na Chadema. Sasa ni zaidi ya nusu saa nchi nzima haina umeme. Koteeee hakuna umeme

    Kote nilikopiga simu mikoani hakuna umeme. It seems ni tatizo la Taifa. Miaka 65 ya uhuru na CCM hatuna mbadala wa chanzo cha umeme mwingine in case chanzo kimoja kinafail kama hivi! Priority ni Chadema na mikutano ya siasa na kuiba kura!
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Agizo la Patrobas Katambi ni batili Kikatiba na kisheria. IGP Wambura, ROCs na OCDs zingatieni hili: "za kuambiwa, changanyeni na zenu"

    https://www.youtube.com/watch?v=JInRM3GwaLk Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Tanzania awamu ya tano aliwahi kuwaonya viongozi na wanasiasa wenzake pamoja na watumishi wa umma kwa ujumla kuwa, "...siku zote kila unalosikia au kuambiwa katika maisha usilibebe tu hivyo hivyo kama zuzu na kulifanyia...
  8. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

    Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana. Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aliwapa uhuru wote na platform ya kutangaza sera zao na kujinadi baada ya kufungiwa na Hayati Magufuli

    Vyama vya upinzani kwa sasa vimekosa mvuto kabisa kwa sababu ya kukosa maarifa na kutotambua waongee lipi na waache lipi. Fikiria, Rais Samia aliamua kuwafungulia kutoka kifungo cha kutofanya siasa for almost 5 years na baadhi walikimbia nchi. Mama akawafata huko huko na kuwarudisha. Sasa...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Karatu: CCM yakata Tamaa, yakubali kuachia Jimbo, Chopa ya Chadema yatikisa

    Makubaliano ya kuachia Jimbo yamefikiwa leo baada ya Chadema kuvurumisha mikutano ya hadhara isiyo na idadi (Tunatafuta calculator isaidie kujumlisha), ambayo wananchi wameielewa kabisa, Hakika kisicho ridhiki hakiliki! Lissu ametoa Elimu ya Haki kwa Raia na kwamba hawapaswi kutishwa na yeyote...
  11. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yazuia CHADEMA kufanya mikutano Tarafa ya Ngorongoro kutokana na sababu za Kiintelejensia!

    Jeshi la Polisi limesema taarifa za kiintelejensia zinaonesha Tarafa ya Ngorongoro si salama sana Kwa sasa hivyo Chadema hawataruhusiwa kufanya mkutano kwenye Operesheni yao itakayoanza kesho Chadema wameafiki na kufuta mikutano ya Tarafa ya Ngorongoro --- Siku moja kabla ya Chama cha...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakienda kwenye mikutano ya sîasa usidhani wamefuata kûsikia jàmbo la maana. Hufuata vijembe vya Mwijaku na Babalevo

    Wakuu mpo! Watanzania wengi ûkiwaona kwenye mikutano ya Siasa usiwachukulie Serious sana kwa sababu wao wenyewe hawapo Seriôus. Wengi hupenda kusikia wanasiasa wakiwa jukwaani wakiongea kwa mtindo wa Mwijaku na Babalevo. Yaani mambo ya ajabuajabu. Maûtani yasiyo na kichwa wala miguu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia zuia mikutano ya Siasa mpaka wakati wa Kampeni

    Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia kutumika siasa vibaya. Mambo kama ulaya hakuna mikutano mpaka wakati wa uchaguzi.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Huwa unazingatia nini kabla hujaenda kuangalia mkutano wa kisiasa?

    Wakuu, Huwa unazingatia nini kabla hujaamua kwenda kwenye mkutano wa siasa, iwe mkutano wa hadhara au kampeni? Ni mada inayoenda kuzungumzwa, mzungumzaji mwenyewe, nguvu ya chama au nini? Nini huwa na umuhimu zaidi kwako ambapo kisipokuwepo huwezi kwenda kwenye mkutano huo au hata kuufatilia...
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

    Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa! Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii...
  16. Fukua

    JamiiForums Tanzania Sasa mikutano ya siasa imeruhusiwa, CCM tumejipanga vyema kwa hoja za kistaarabu

    Salaam, Katika kipindi cha miaka 7 Rais aliyepita aliweka zuio la muda la mikutano ya siasa/ hadhara kwa mujibu wa Sheria na tamaduni zetu. Vyama vyote vya siasa tulifurahia na kutekeleza agizo hilo kwa kuzingatia kwamba tulitoka ktk uchaguzi mkuu hivyo tujipe mda wa kupiga kazi kwa ajili ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini yakinifu uzinduzi wa mikutano ya siasa Mwanza

    Chadema kama chama tegemeo kwa ukombozi wa nchi hii ni tofauti sana na vyama vingine. Tofauti kubwa iliyopo ni kuwa chawa kama wale wa Mama huku si sifa bali ni machukizo. Chadema iliyoko mioyoni mwa watu hutambua wakichemka wao na hata tunapochemka sisi. Hii ni bila kujali mpiga fyongo ni...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tuelekeze nguvu kujenga uchumi siyo mikutano ya Siasa

    Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Vijana msije tumiwa vibaya kwenye mikutano ya Siasa

    Nimesukumwa na dhamila yangu njema kuwaonya vijana wetu wasijiingize kwenye vurugu zinazo sukumwa na watu Wa gonvi wanao jivika vazi la siasa huku wakitaka kuondoa Amani Yetu. Niombi langu kuwa muwapuuze Wanasiasa wanao taka kuleta taharuki na kuivuruga Amani Yetu. Siasa au matabaka ya vyama ya...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa

    Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa Jumatano, Januari 23, 2019 — updated on Februari 15, 2021 Rais John Magufuli amesema hakuna kiongozi aliyezuiliwa kufanya mikutano ndani ya jimbo lake bali wanapaswa kuzingatia taratibu za kupata vibali Dar es Salaam. Rais John Magufuli amesema hakuna...
Back
Top Bottom