Hii ikimaamisha,
viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa sheria. Hao ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani wabunge, Marais na...
Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo.
Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
Mikutano ya hadhara Kwa vyama vya siasa ni takwa la kikatiba sio hisani wala huruma
Waziri au kiongozi yeyote kuzuiq mikutano ya vyama vya siasa ni kuwa kinyume cha katiba ya nchi
Katambi anavunja katiba Kwa maslahi ya nani?
Hatuwezi kuwa na viongozi wanaopinga na kuvunja katiba,
Nadhani huu...
Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema?
Je,
achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa?
Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni...
Katika nadharia ya sayansi ya siasa, uwepo wa uwanja sawa wa ushindani (level playing field) ndio nguzo kuu inayotofautisha mifumo ya kidemokrasia na ile ya kimamlaka (authoritarianism). Kauli ya Mary Pius Chatanda (Mwenyekiti wa UWT ) inatoa picha ya kile wataalamu wanachoita "ustahimilivu...
Ndugu zangu watanzania,
Wiki iliyopita niliumia sana kuona mkutano wa CHADEMA kule kanda ya ziwa ukigeuka jukwaa la kuwatukana, kuwadhalilisha,kuwatweza na kuwavunjia heshima askari wetu ambao kila mmoja wetu anatambua kazi kubwa wanayoifanya usiku na mchana kuwalinda watanzania na mali zao...
Hapa DUNIANI,
Siasa, DINI, Michezo na Mapenzi huenda ndio vitu pekee ambavyo hushika "HISIA / EMOTIONS" .
Sasa Wanawake ni viumbe waishio kwa HISIA .
Ni katika kulijua hili, Mtunzi mzuri wa Tamthiliya uhakikisha ANATUNGA KWA KUZINGATIA HISIA, NA UKWELI YA KWAMBA KILE ATAKACHOKITUNGA...
Baada ya kusikiliza hotuba za Goodbles Lema na Boniface Jacob walizozitoa mkoani Arusha kwenye mkutano mmoja wa hadhara hivi karibuni, napata mashaka kama watawala wataweza vumillia spana wanazopigwa na hawa makamanda.
Ninachokiona ni CCM na serikali yake kushindwa kuvumilia na kujibu hoja za...
Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara.
Chokochoko zilianza kwenye...
Sio kila muda lazima uongee
Sio kila jambo linalotokea lazima uzungumze.
Serikali inatuhumiwa kwa mambo mengi ikiwemo kuwapoteza na kuwateka wapinzani wako wa kisiasa ( Kidnaping na Enforced Dissaperrance). Kama hujui haya ni makosa dhidi ya Binadamu chini ya Sheria za Kimataifa. Unapofanya...
Binafsi Hawa jamaa ningewaona Wana akili timamu endapo nao Kwa wingi wao,waafanye mikutano ya hadhara ya kuwaelewesha Watanzania namna ambavyo wakiingia kwenye Uchaguzi ujao watashinda majimbo ya kutosha na kuepusha mauaji ya watu na wizi wa Kura hautotokea!
Tofauti na hapo nitaendelea kuwaona...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hadhara
jamhuri
jamhuri ya muungano
katika
korogwe
mkutano
mkutano wa hadhara
muungano
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
wananchi
USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA
Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta
mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye...
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.
Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kilicho pigwa marufuku ni mkusanyiko uliokuwa umeitishwa...
Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na Polisi ndiyo watatumika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.