Sasa mikutano ya siasa imeruhusiwa, CCM tumejipanga vyema kwa hoja za kistaarabu

Fukua

JF-Expert Member
Jun 1, 2022
546
479
Salaam,

Katika kipindi cha miaka 7 Rais aliyepita aliweka zuio la muda la mikutano ya siasa/ hadhara kwa mujibu wa Sheria na tamaduni zetu.

Vyama vyote vya siasa tulifurahia na kutekeleza agizo hilo kwa kuzingatia kwamba tulitoka ktk uchaguzi mkuu hivyo tujipe mda wa kupiga kazi kwa ajili ya maendeleo yetu.

Cha kusikitisha sana ni hawa wanaojiita upinzani sana sana chadema hawakukubaliana na agizo hilo, wakapanga vurugu na hata kufanya matendo ya kigaidi kwa viongozi na watanzania mbalimbali hata waliokuwa wanachama wao Ili kuichafua Serikali.

Jambo lililosumbua sana jeshi letu la polisi kulazimika kuingilia/ kulinda amani isitoweshwe na kakindi kadogo cha wapinzani hewa.

Kipindi chote CCM tulikuwa watulivu na wastaarabu pia tukijiandaa vyema kwa wakati kama huu ambapo zuio lile la mda lingetenguliwa.

Kipenga kimepulizwa tuko tayari kuwaeleza wananchi wetu maendeleo makubwa yaliyofanywa na chama Chao cha CCM.

Tuko tayari kujibu hoja dhaifu za wajiitao wapinzani kwa ustaarabu na ustahimilivu kama ilivyo utamaduni wetu.

Tunatambua namna wananchi wetu walivyochoka haya makelele ya upinzani uchwara, pia tunafahamu watatumia majukwaa kutukana, kukejeli, kufokafoka na hata kuleta vurugu.

Tunaliomba jeshi la polisi liwe makini sana kipindi hicho na pia tunakupongeza Mama yetu Mh. SSH kwa kuiruhusu hii mikutano ya hadhara Sasa tukawachakaze kwa hoja safi kabisa.
 
Rubbish
 
Yule jamaa anayesema Lissu asikanyage Dodoma, akikanyaga anaruka naye - je hayo ndiyo majibu ya hoja ya umuhimu wa Katiba mpya kwa watanzania?
 
Kwani anavyosema kuruka naye wewe una elewa Nini.?
 
Salaam,

Katika kipindi cha miaka 7 Rais aliyepita aliweka zuio la muda la mikutano ya siasa/ hadhara kwa mujibu wa Sheria na tamaduni zetu.

Vyama vyote vya siasa tulifurahia na kutekeleza agizo hilo kwa kuzingatia kwamba tulitoka ktk uchaguzi mkuu hivyo tujipe mda wa kupiga kazi kwa ajili ya maendeleo yetu.

Cha kusikitisha sana ni hawa wanaojiita upinzani sana sana chadema hawakukubaliana na agizo hilo, wakapanga vurugu na hata kufanya matendo ya kigaidi kwa viongozi na watanzania mbalimbali hata waliokuwa wanachama wao Ili kuichafua Serikali.

Jambo lililosumbua sana jeshi letu la polisi kulazimika kuingilia/ kulinda amani isitoweshwe na kakindi kadogo cha wapinzani hewa.

Kipindi chote CCM tulikuwa watulivu na wastaarabu pia tukijiandaa vyema kwa wakati kama huu ambapo zuio lile la mda lingetenguliwa.

Kipenga kimepulizwa tuko tayari kuwaeleza wananchi wetu maendeleo makubwa yaliyofanywa na chama Chao cha CCM.

Tuko tayari kujibu hoja dhaifu za wajiitao wapinzani kwa ustaarabu na ustahimilivu kama ilivyo utamaduni wetu.

Tunatambua namna wananchi wetu walivyochoka haya makelele ya upinzani uchwara, pia tunafahamu watatumia majukwaa kutukana, kukejeli, kufokafoka na hata kuleta vurugu.

Tunaliomba jeshi la polisi liwe makini sana kipindi hicho na pia tunakupongeza Mama yetu Mh. SSH kwa kuiruhusu hii mikutano ya hadhara Sasa tukawachakaze kwa hoja safi kabisa.
Kabisa yaani .

JamiiForums1906236051_512x340.jpg
 
Back
Top Bottom