Tuelekeze nguvu kujenga uchumi siyo mikutano ya Siasa

situjadiriane

Member
Jan 5, 2023
28
35
Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu mikutano ya kisiasa ifanyike mara moja kwa week tena jpili Tu. Kila chama kifanye mkutano mmoja kwa mwezi. Hii itawapa Wa Tanzania muda Wa kufanya kazi na kujenga uchumi Wa nchi.haya nimaoni yangu naomba tujadiri bila matusi
 
Hauwezi kujenga uchumi bila kukutana na wananchi ili uwaambie nini cha kufanya, usiwaogope Chadema wao ni kama wewe.
 
Ila mkuu wakati kina Kinana na Chongolo wanazunguka nchi nzima hii na kuwa na mikutano hukuyasema haya.

Anyway naona kikubwa umekubali watu wamejitokeza kwa wingi na hata wengine kulazimika kutembea kwa miguu kwenda Furahisha kinyume na wenzako waliokuwa wanasema Mara boda wamelipwa kubeba watu, Mara Kuna maroli yameandaliwa nk
 
Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu mikutano ya kisiasa ifanyike mara moja kwa week tena jpili Tu. Kila chama kifanye mkutano mmoja kwa mwezi. Hii itawapa Wa Tanzania muda Wa kufanya kazi na kujenga uchumi Wa nchi.haya nimaoni yangu naomba tujadiri bila matusi
cdm wanakusanya kodi? Tuanzie hapo
 
Huu ushauri kawape ndugu zako hasa Shangazi zako na Wajomba zako kule bushi
 
Back
Top Bottom