Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!

Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!

Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
 
Ni kweli mkuu, mimi kila nikifuatilia hoja zao sisikii la maana linalozungumzwa. Nilidhani wataongelea kero zinazowahusu Wananchi kutegemea na eneo husika lkn ni utumbo mtupu wanaongea
 
Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!

Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!

Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Utaweweseka hadi upate kifafa! Kama haina tija unafuatilia ya nini? Wananchi wanahitaji mikutano, sio lazima we kibetina ikuhusu. We tulia, endelea na maisha yako. Hofu yenu, hamuwezi siasa za majukwaan tena, mnateseka jinsi ambavyo hamna la kusema kwenye majukwaa ndo maana mnataka na wenzenu wakae kimya! Tulieni hivyo hivyo maana siasa za ushindani hamna uwezo nazo
 
Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!

Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!

Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Naunga mkono hoja
 
Tulijua tu kwamba kwa Ile mikutano ya Chadema kanda ya ziwa lazima tamko litoke kwa Chawa
 
Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!

Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!

Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Wasiipige mikutano marufuku. Acha mvua inyeshe ili 2025 tujue panapovuja ni wapi i.e. tujue pumba ni akina nani na mchele ni nani
 
Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!

Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!

Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Kila siku nawaambiaga umewahi sikia hoja yeyote ya Maendeleo kutoka Chadema zaidi kutukana,kulalamika,kuponda na kupotosha watu?
 
Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!

Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii mikutano uchwara! Ili kuepusha dalili za uhaini katika nchi yetu mikutano ipigwe stop!

Tuinusuru nchi yetu na Mkono wa shetani ..kama lengo kuu la mikutano ndio hili sioni sababu ya kuendelea nayo
Magufuli alikuwa ni Dikteta mpumbavu ndiyo maana alifuta mikutano ya vyama vya upinzani. Haya mambo yapo kikatiba na ukitaka kuyafuta kaanzie Bungeni kubadili sheria.

Hatutaki turudi kwenye ule UHAYAWANI wa Magufuli, tumeufukia kama tulivyomfukia yeye mwenyewe Chato
 
Iii iwe na tija sio lazima iwe unavyotaka wewe.Vyama vina haki yakujenga mahusiano na wanachama wake ilo tu inatosha kua na tija.Nfo maana unaona mikutano inapata uungwaji wa wananchi.Wewe ninani hadi ugeuke kua msemaji wa wananchi walio wengi?
 
Back
Top Bottom