Huwa unazingatia nini kabla hujaenda kuangalia mkutano wa kisiasa?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wakuu,

Huwa unazingatia nini kabla hujaamua kwenda kwenye mkutano wa siasa, iwe mkutano wa hadhara au kampeni? Ni mada inayoenda kuzungumzwa, mzungumzaji mwenyewe, nguvu ya chama au nini?

Nini huwa na umuhimu zaidi kwako ambapo kisipokuwepo huwezi kwenda kwenye mkutano huo au hata kuufatilia kwa njia za kidigitali? Teknnolojia imeendelea sasa hivi unaweza kufuatailia mikutano hii ukiwa popote, huwa unazingatia nini ili kufuatilia mikutano hii?
 
huwa najiuliza swali kama hili nakosa jibu, haswa nini kipya kinachofanya watu warundikane kusikiliza na kumuona mtu fulani wakati unaweza kumuona na kumsikia kwenye vyombo vya habari huo muda wanaotumia wakafanya shughuli nyingine za muhimu?
1705984324665.jpg
 
View attachment 2880344
Sasa nyie wa vyombo vya habari mtamuona vipi kama hawa watu hawataenda ili awahutubie
 
Mimi huwa naangalia makutano wa kisiasa kama umenikuta katika pitapita zangu, maybe natoka mishemishe nikakuta mtu anatafuta ugali wake kwa kudanganya wananchi nasimama kum support
 
huwa najiuliza swali kama hili nakosa jibu, haswa nini kipya kinachofanya watu warundikane kusikiliza na kumuona mtu fulani wakati unaweza kumuona na kumsikia kwenye vyombo vya habari huo muda wanaotumia wakafanya shughuli nyingine za muhimu?
View attachment 2880344
Itakua Hawa wanasiasa wanatumia dawa kuvuta watu sio bure.
 
Nazingatia kutokua serious ili nisije catch feelings. Nichukulie mambo yanayoendelea kuwa kama mzaha tu
 
Back
Top Bottom