johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,450
Mgombea nafasi ya mwenyekiti wa Chadema taifa mh Cecil Mwambe amesema leo anakwenda kupiga shoka moja tu na mbuyu utakuwa chini.
Mwambe ambaye ni mbunge wa Ndanda amesisitiza ili kuuangusha mbuyu hakuhitaji mbwembwe nyingi bali pigo moja tena pigo takatifu. Kumbukeni kisa cha Daudi na Goliati, amemalizia.
Nawatakia Chadema uchaguzi wa amani.
Maendeleo hayana vyama!