Cecil Mwambe kujenga Makao Makuu ya kisasa CHADEMA na kuachana na kota ya NHC ya Ufipa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Watu walio karibu na mgombea wa Uenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe wamesema moja ya vipaumbele vya mgombea huyo ni kuhakikisha Chadema inajenga jengo la kisasa la makao makuu.

Ikumbukwe kuwa baada ya kuhama pale kisutu kwenye ofisi za rip Ndesamburo Chadema walijihifadhi mtaa wa Ufipa pale kinondoni kwenye nyumba ya NHC iliyokuwa chini ya rip Bob Makani. Baadae Chadema walifanikiwa kuimiliki nyumba hiyo na kuifanya kuwa makao makuu.

Wapambe wa Mwambe wanadai kuwa Chadema ni chama kikubwa kinachostahili kuwa na ofisi zenye hadhi yake kama lilivyo jina lake Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Pia Mwambe anatarajia kuupa nguvu umoja wao wa vijana yaani Bavicha ambao kwa sasa ni kama umekufa ganzi huko mikoani na kubakia Dsm tu.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
 
CCM mjue hamna jingo hata moja, hayo ni nyumba za serikali maana mlizinyakua wakati wa chama kimoja ambacho kilikuwa sehemu ya bajeti ya kodi za wananchi. iende irudi nyumba hizo mtanyanganywa maana iko kwenye vitabu na mioyo ya watanzania kuwa si vyenu. Kaa ukijua. Kama wewe ni Magufuli , Bashiru, Polepole etc jua hilo!
 
Jina geni

Sidhani kama ataweza kupambana na police

Pia anaonekana ni snichi sana kwa sababu hajawahi uonekana kwenye migongano yoyote na police.

Anaweza kuwa na maono mazuri ya kwenye karatasi lakini asifanikiww kutokana na ukosefu wa uelewa mzuri wa siasa za tz.

Chadema ni kubwa sana..
 
Mwambe ni Lumumba project.
 
Kwanini apambane na polisi?!
 
Upinzani sio Uhalifu atapambana na Police kwa kujenga siasa safi na kufuata taratibu
 
CCM mjue hamna jingo hata moja, hayo ni nyumba za serikali maana mlizinyakua wakati wa chama kimoja ambacho kilikuwa sehemu ya bajeti ya kodi za wananchi. iende irudi nyumba hizo mtanyanganywa maana iko kwenye vitabu na mioyo ya watanzania kuwa si vyenu. Kaa ukijua. Kama wewe ni Magufuli , Bashiru, Polepole etc jua hilo!
Bila kusahau na viwanja vya mipira,
 
Makazi siku zote yanaleta heshima na utulivu, chama kama CDM hakiwezi kukaa katika maeneo km yale kumbuka kuna wageni wa kimataifa ambao wataitaji kutembelea ofisini mwao na kuweka vikao
Kuna hotel watafanyia mikutano uko hotelini
 
Ccm ilitaifisha majengo ya watu na kuyafanya ofisi jengo lipi wamejenga
Majengo yote ya CCM yamejengwa kwa michango ya wanachama na sasa wanajenga chuo kikuu cha kisasa kabisa pale Kibaha.

Mwambe yuko vizuri!
 
Back
Top Bottom