Zitto Kabwe na Cecil Mwambe waliondoka CHADEMA kishujaa bila kuogopa njaa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,767
141,630
Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.

Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wewe wakati mwingine unakuwaga sawa na tabia za bahari za kuwa na low tide na high tide
Najikumbusha tu jinsi vijana hawa wawili siasani Zitto Kabwe na Cecil Mwambe walivyoondoka Chadema katika mwaka wa uchaguzi na kusamehe mafao yao baada ya kujiuzulu ubunge.

Yataka moyo mkuu kufikia maamuzi kama haya.

Maendeleo hayana vyama!

In God we Trust
 
Zitto alivuliwa uanachama, Cecil Mwambe aliondoka Chadema baada ya kuahidiwa muhula mwingine. Bwashee ulikuwa kijijini ukiuza mbege.
 
Ujuaji mwingi kumbe hujui hata Zitto aliondokaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia barua yake ya kujiuzulu ubunge ipo Bungeni Dodoma.

Na wakati anaondoka aliwaaga wabunge wenzake tukishuhudia mubashara luningani TBC.

Nadhani wakati huo wewe ulikuwa bado uko bulongwa Makete!
 
zito hakununuliwa kama carot mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mwambe amenunuliwa na nani?

Yeye aliulizwa na Rais Magufuli ilikuwaje amehamia Chadema.... akasema alishinda kura za maoni CCM mwaka 2015 lakini kura zake akapewa mgombea mwingine hivyo hakuwa na option nyingine zaidi ya kuhamia Chadema lakini bado anaipenda sana CCM.

Ndipo akaambiwa milango iko wazi na endapo atagombea tena na kushinda kura za maoni huyo atakayemkata na yeye atakatwa.

Hata ungekuwa ni wewe ungefanya kile kile alichofanya Mwambe usizuge hapa!
 
Back
Top Bottom