uchaguzi chadema

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Sera ya uchaguzi CHADEMA 2020. Ugatuzi wa madaraka, sura pili ukurasa wa 12

    Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo. Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa) Kwa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, na watendaji. Vyama vyote viwili vinashabiiana...
  2. J

    Ratiba ya Uchaguzi CHADEMA itatolewa lini? Hatutegemei Mzee Mtei apendekeze jina la Mwenyekiti

    CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi. Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari. Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana. Wednesday, ubarikiwe sana!
  3. Nanyaro Ephata

    Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde. Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
  4. Petro E. Mselewa

    Kwanini Sumaye na Mwambe waligombea kwenye Kanda zao na tena wanagombea Uenyekiti Taifa?

    Mzee Fredrick T. Sumaye na Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe waligombea Uenyekiti wa Kanda zao za Mashariki na Kusini. Kule Kanda ya Mashariki, Mzee Sumaye akiwa mgombea pekee wa Uenyekiti, alipata kura nyingi za HAPANA na hivyo kushindwa kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Kanda ya Mashariki...
  5. Roving Journalist

    Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019. Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani. Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76. Kulingana na taratibu za chama hicho...
  6. M

    Vigogo waangushwa uchaguzi CHADEMA

    WanaJF, Nchi iko katika heka heka kubwa kutokana na chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuendelea kufanya uchaguzi wake katika ngazi ya Kanda. Kwa idadi kubwa Watanzania wanafuatilia kwa karibu sana uchaguzi huu pengine kuliko ule uchaguzi wa serikali za mitaa uluosusiwa na upinzani. Kwa...
  7. Chakaza

    Chaguzi za Kanda CHADEMA na jinsi zilivyo muhimu kitaifa

    Sikupata kujua kama Chadema ni maarufu na muhimu kiasi hiki kuanzia ngazi ya chini hadi pale Chaguzi za viongozi wa kanda zilipoanza. Ni ajabu kuwa chaguzi hizo zimefuatiliwa kwa ukaribu sana na nchi nzima, hasa ccm imeonyesha kuwa inaangalia kwa ukaribu sana kuliko hata Chadema wenyewe. Nina...
  8. Erythrocyte

    Mchungaji Msigwa ashinda Uenyekiti kanda ya Nyasa

    Mwenyekiti aliyekuwa anamaliza muda wake Mh Msigwa ambaye pia ni Mbunge wa Iringa Mjini , ametetea nafasi yake kwa kumuangusha mpinzani wake Wakili Msomi Boniface Mwambukusi . Mh Msigwa amepata kura 66 ambazo ni sawa na 62.3 % ya kura zote , wapiga kura walikuwa 108 , ambapo Mwambukusi...
  9. idawa

    Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

    Esther Matiko 44 John Heche 38 Hongera Mwana mama Esther Matiko Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania! Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania. Naamini ni kiongozi mkubwa ajaye.
  10. pantheraleo

    Lazaro Nyalandu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati

    Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini nchini Tanzania, Lazaro Nyalandu amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati baada ya kupata kura 60 kati ya 86 zilizopigwa. Waziri huyo wa zamani wa Maliasili na Utalii ameshinda kwa asilimia 66.8 katika uchaguzi huo uliofanyika mjini Dodoma na...
  11. Pascal Mayalla

    Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...
  12. B

    Mbunge CHADEMA atishiwa maisha, kisa fomu dhidi ya Mbowe

    Hii ni aibu yetu sote Yanayoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yanasikitisha. Pamoja na wabunge kadhaa wa Chama hicho kuparurana na kutukanana hadharani kisa suala la Mbowe kugombea tena Uenyekiti, sasa hali ya Mbunge wa Chama hicho Cecil Mwambe aliyetangaza kuchukua...
  13. technically

    Mbowe asitumie ukubwa wa jina lake kushinda uchaguzi CHADEMA

    Wanachama wengi wa chadema wanamwangalia mbowe kwenye mazuri aliyofanya tu bila kuangalia sehemu alikoshindwa kama 1: Kushindwa kuchukua hatua kali za kichama kupinga kuzuiwa kwa mikutano na mahandamano ya vyama vya siasa. 2: Kutokuwa na ofisi za kujenga majengo mengi wanapanga nilitegemea...
  14. Erythrocyte

    Mdude Nyangali arejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Taifa BAVICHA

    Unaambiwa siasa za awamu hii ni zile siasa ngumu kabisa , ni siasa za vitendo zaidi badala ya maneno , ni siasa za jasho na damu . Wanatakiwa Vijana shupavu wasioogopa kuuawa .
  15. J

    Cecil Mwambe kujenga Makao Makuu ya kisasa CHADEMA na kuachana na kota ya NHC ya Ufipa

    Watu walio karibu na mgombea wa Uenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe wamesema moja ya vipaumbele vya mgombea huyo ni kuhakikisha Chadema inajenga jengo la kisasa la makao makuu. Ikumbukwe kuwa baada ya kuhama pale kisutu kwenye ofisi za rip Ndesamburo Chadema walijihifadhi mtaa wa Ufipa pale...
  16. J

    Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

    Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini. Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda. Source...
  17. S

    Uchaguzi CHADEMA: Anthony Komu ataka Mbowe apishe uenyekiti

    Uchaguzi wa ndani CHADEMA Wabunge na Mameya CHADEMA wamuunga mkono Mbunge wa jimbo la Ndanda Mhe Cecil David Mwambe kuchukua fomu ya uenyekiti wa CHADEMA taifa kumrithi Mbowe. Kwa taarifa kutoka moja ya wabunge wanaomuunga mkono anasema wamemchangia shilingi milioni 25. Anasema katika kikao...
  18. Petro E. Mselewa

    Si Cecil Mwambe wala John Heche wanaotosha uenyekiti CHADEMA Taifa, Uenyekiti una mambo mengi

    Mwanzo mwanzoni niseme wazi kuwa mimi si na sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA au chama kingine chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Hilo linatosha kutoa maoni yangu huru kuhusu siasa za nchi yangu kwakuwa nazifuatilia. CHADEMA wanapaswa kufanya uchaguzi mkuu wa kichama...
Back
Top Bottom